Ndugu yangu kijana mwenzangu, harakati za maisha bila Mungu kukusaidia utajikuta umeangukia kwenye rushwa, madawa ya kulevya, ujambazi, kupigwa, kulogwa na wachawi nk.Mwisho wa siku ndoto zako zote zinapotea.
Wokovu ndiyo mpango mzima,utabarikiwa mjini na vijijini,utabarikiwa uingiapo na Mungu...