Recent content by kahowelapeter

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mange amshambulia Lulu

    Anapitia mambo gan ww? Km kafanya kosa hastahili hadhabu kwakuwa ni mtoto? Tafakari we acha uvivu na uzembe Wa kufikir
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mange amshambulia Lulu

    Unajua msipende ushabiki Wa kijinga, hata km ungekuwa ww Kwenye hiyo familia ya kanumba mambo anayoyapost lulu kwa social media juu ya kesi hii ungekubali kweli? Eti kwakuwa mtoto na anamuonekano mzuri ndio hana makosa? Ukarimu, kujishusha na unyenyekevu ni vitu ambavyo havina gharama, lulu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Sio kwamba anakupima ameshakugeuza ww ni kitega uchumi chake, ikiwezekana namba yake futa kabisa au badili laini mapema, maana anaweza Kuja kwako huku Analia anaomba msamaha kumbe ana lake jambo maana anajua utamsamehe tu, ila kumbuka na ugonjwa anaweza akaja akakupa pia maana atakuja kwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Piga chini huyo maana ni mwendawazimu na anatafuta mtaji kwako mwisho Wa cku anakukimbia, piga chini piga chini huyo sio demu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa na jeshi la polisi popote alipo toa taarifa kituo chochote cha polisi

    Wanaoiba vitu vidogo tunajifanya kutoa matangazo na kusisitiza ushirikiano, mbona kwa wale wanaoiba na kutunyanyasa kwa haki, uchumi huwa tunakaa kimya? Mm naona.........
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji na Utekaji Tanzania: CHADEMA walia na Serikali, Lema, Masha na Kigaira walaumu IGP Sirro na Magufuli

    Daaah kwa maisha haya, kwann watu wanakwepa ukweli uliopo na wanaapa wenyewe ni wapenzi Wa mungu kwa kuwa wanasema ukweli, sasa huo ukweli ni upi? Unafiki huu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

    Ulimbukeni tatizo hapa bongo kuna mijitu inaboa sna
  8. K

    JamiiForums Tanzania Baraka Da Prince asapoti wimbo mpya wa Diamond, awashukia wanaompangia cha kuandika

    Unakuwa mwanamuziki halafu unakosa akili matokeo yake ndio hayo sasa, wengi hawakumbuki walipotoka kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Usishabikie upinzani kama hujui mambo haya

    Duuuuuhhhh!!! Nyeusiii
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume wa kweli

    Weka namba hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madai ya CHADEMA kwamba hakuna Viwanda Vipya awamu hii, imesajili viwanda 2,536

    Wanatuzingua tu, hakuna lolote Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom