Kwani akifungwa Lulu ndo mwanae anarudi? Kwanza issue yao olikua imekaa kimahaba sana hivyo sidhan kama kulikua kuna kusudio la kuua bali ilitokea bahati mbaya
Ila kama katika hili wapinzani wamehusika kuichongea serikali ili ndege yake ikamatwe na wadeni wamekosea sana. Nchi hii ni yetu sote, serikali ikidaiwa kodi zetu ndo zinadaiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu lissu asidhalaulike pamoja na kwamba ni mpinzani kuna masuala inabidi tujifunze kutoka hata kwa maafui zetu kama yanaweza kutusaidia kujikwamua hapa tulipokwama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.