Recent content by kahembe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye taarifa sahihi za mtangazaji wa Clouds anayeitwa Oscar, natamani Watanzania wajue weledi wake

    Nimeona huyo mtangazaji wa Clouds anaongelea mambo ya kisiasa ila Nina mashaka na taaluma yake na uwezo wake wa kuongelea national issues
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye taarifa sahihi za mtangazaji wa Clouds anayeitwa Oscar, natamani Watanzania wajue weledi wake

    Nimeona huyo mtangazaji wa Clouds anaongelea mambo ya kisiasa ila Nina mashaka na taaluma yake na uwezo wake wa kuongelea national issues
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ajira na Vijana imulike kampuni ya BRAC kwa jicho la tatu

    Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao Ukikataa kulipa kazi unapoteza Waziri ingilia kati hii changamoto
  4. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 40 sina nachomiliki zaidi ya smart phone

    Tupo wengi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nitaendendealea kutoa mfulizo wa Changamoto za kampuni ya BRAC kwa vijana Waajiriwa wa hiyo kampuni

    Mteja akishindwa kulipa rejesho lako unaandikishwa barua ya maelezo pia watu wako wa karibu yaani wazamini waliokuzamini wakati wa kuajiriwa wanapigiwa simu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kampuni ya mikopo ya BRAC

    Brac Tanzania Ni mateso kwa mafisa mikopo maana wanalizimishwa kulipia wateja wao marejesho ambao hakuleta rejesho, ukishindwa kufanya hivyo unafukuzwa kazi.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC

    Kampuni ya kutoa mikopo ya BRAC kwa wajasilimali wadogo hapa Tz Hii kampuni imekuwa ikitanabsisha kutoa ajira kwa vijana wetu wa kitanzania amabo kazi zao ni kusaidia kupata wateja wa kuwapa mikopo na mikopo hiyo Ina ya aina mbili 1.Mikopo ya vikundi 2. Mikopo binafsi Changamoto wanayopitia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM apinga uteuzi wa Samia kugombea urais (Barua kwa msajili wa vyama)

    Mtungi na Ramadhani Kailima ni Wana CCM kindaki ndani
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM walipe kodi kwa hiyo harambee yao

    Walipe Kodi kwanza 86 b bila Kodi ni wizi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni muda sahihi Kwa waliokosa nafasi za ubunge na udiwani waende veta

    Baada ya kura za wajumbe kufanyika waliokosa nafasi za kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi wa 10.29.2024 katika ngazi za ubunge na udiwani Kwa Sasa ni muda muafaka wa wao kwenda Veta
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Binge la ushauri... nimeipenda sana
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Kasanda, kazilamiunda, kanembwa , kanyonza ,Mugunzuu, bukiririlo, gwanumpu...ndo zitakuwa tarafa zake
  13. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Tutapendekeza wagombea wanaokubalika na wananchi

    Am 80 yrs am requesting the employment opportunity at your institution...✍️✍️
Back
Top Bottom