Recent content by Kaharo

  1. K

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 1-0 Niger | AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 18.06.2023

    Pengo la Zimbwe Junior na baba Esther kupeleka mashulambulizi juu linaonekana, tunacheza defensive game kama vile tunatafuta sare.
  2. K

    JamiiForums Tanzania FT: US Monastir 2-0 Yanga SC || CAFCC || Rades, Tunis || 12-02-2023

    Mdaka mishale wetu leo kapatwa na nini wakati huku Bongo anaongoza kwa clean sheets?
  3. K

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Imekuwa kwao tena, hapa kwenu imeshindikana nini?
  4. K

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Nne bila kwa mujibu wa afisa habari wetu ndio haiwezekani tena.
  5. K

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-1 Al Hilal Club (CAF Champion League) | Mkapa Stadium | 8-10-2022

    Mpaka sasa sijaona dalili ya sie Yanga kupata ushindi aliotuahidi afisa habari wetu wa goli nne bila.
  6. K

    JamiiForums Tanzania FT: Uwanja wa Mkapa: Yanga 0-2 Vipers, Mwananchi Day (Agosti 6, 2022)

    Jamani wakumbusheni vipers kuwa leo ni siku ya mwanachi, mbona wanatufedhehesha sana.
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yadai kwamba iliwasilisha Kwa Spika wa Bunge Taarifa ya Mdee na wenzake kushindwa kesi mara tu baada ya uamuzi wa Mahakama

    Kesi bado haijaisha, kwa kushirikiana na mwanasheria anaetutea tuko bize kurekebisha dosari zilizojitokeza na kesho tunafungua kesi upya, tumeisha itaarifu ofisi ya spika ndio mana ametulia kwanza! 😂
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Tatizo beki wetu wa kati ana kimo kama cha Joti, pamoja na kujitutumua kuruka kote kule, lakini wapi, ni washambuliaji wa Algeria ndio waliokuwa wanawini mipira na kutushambulia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Mpaka hiyo kesi ije kuisha uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa umeshafanyika, kwa hiyo covid 19 wanaendelea kuinjoi ubunge wao to the fullest. Walio na wivu waende chooni wakakate gogo. 2025 ikifika covid 19 watakuwa wameshafanya maamuzi wahamie chama gani ili wagombee ubunge tena. That's all about...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Ramadhani ni mwezi wa kula Sana au wa kufunga?

    Mimi ni kafiri ila sio kama wewe, mana kafiri wa aina yako na mpumbavu hawana tofauti, mana wote hamna ubongo wa kuelewa somo lolote lile. Tumeshaambiwa kuwa mfungo wa mwezi Ramadhani ni ibada ya waislamu pamoja na mambo mengine pia inahusu kujizuia kula tokea jua linapochomoza hadi jua...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Kama jina la Yesu halikumsaidia yeye mwenyewe mwenye jina hilo kwenye maombi yake ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Kama jina lake yeye mwenyewe Yesu halikumsaidia kwenye maombi yake Yesu ya kumuomba babaake alioko mbinguni kumuepusha na kikombe cha umauti kilichokuwa kinamkabili wakati anaenda kusulubiwa, na matokeo yake akasulubiwa na kufa msalabani, iweje jina lake hilo hilo liweze kukufanyia muujiza wewe...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Yanga ni Tishio Barani Afrika

    Biggy Mwaka katika ubora wake wa kuropoka 😂
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Na baada ya Mtibwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu bara mwaka huo walilitia aibu taifa kwa wao kushindwa kusafiri kwenda kucheza mechi ya marudiano ya mtoano ya awali katika mashindano ya caf champions league iliyowapelekea kula ban ya miaka 3 pamoja na faini kutoka CAF.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeamini yanga wanakomolewa kimakusudi ili wasibebe ubingwa

    Uto wote kutokea kwa yule msukule nguruwe pori hadi kwa bwana wake muuza magodoro akili zao zinafanana, eti hawajaona kama ni kosa kwa Dickson Job kumkanyaga Ngodya kwa makusudi 😂
Back
Top Bottom