Recent content by Kagyabukama7

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Iko wapi hiyo hospitali
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Ni chungu tu au hata sufuria naweza kutumia na pia hiyo dawa niitumie kwa muda gani yaani wiki moja,mbili au miezi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Asante kwa ushauri wako
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Habari zenu wadau, naomba kuuliza ninaweza kupata dokta anayeweza kutibu vidonda vya tumbo na kupona kabisa.Kama yupo naomba namba zake ili niweze kufanya mawasiliano.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mimi nina vidonda vya tumbo nimepima H.Pylori ni positive, je naweza kupata dawa ya kutibu tatizo na gharama zake shillingi ngapi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Wadau, hivi barua ya maombi (application letter) inatakiwa kuandikwa kwa mkono (hand-writen) au kuchapwa(printed), msaada wenu wadau
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je nikiwa na Bachelor of Education naweza kusoma MSc. in Mathematics ?

    Jambo Tanzania! Hivi mtu aliyesoma degree ya kwanza (Bachelor of Education Mathematics) yaani haina "in" na "with" anaweza kusoma degree ya pili (Masters of science in Mathematics) bila ya kusoma postgraduate. Naombeni mnisaidie.
Back
Top Bottom