mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 19 nipo dar. nilikuja kufanya kazi huku tokea mwezi wa 6 mpaka sasa!! lakini jana bossi wangu kanifukuza kwa kudai kuwa biashara haiendi na pia hana pesa ya kunilipa. Mshahara wngu wa kwanza alinilipa lkn kwasasa kakataa kunilipa kwa kudai kuwa biashara...
habari zenu wakuu mimi ni kijana nipo dar natafuta kazi yoyote ila ambayo ni halali na pia nina moyo wa kujituma. kama upo dar na unahitaji kijana wa kazi basi tuwasiliane kupitia 0713465548
asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.