Recent content by Kagoma360

  1. Kagoma360

    Software za kufrashia simu

    Infinix smart 5
  2. Kagoma360

    Software za kufrashia simu

    Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat. Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK CLIENT TOOL na MTK UNIVERSAL TOOL kwa mwenye hizo software wakuu naomba ili niweze kutatua changamoto hii
  3. Kagoma360

    Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Huku kitaani kwangu ni fundi simu mtata najipatia kipato na maisha yanaendelea na hakuna niliposomea ufundi zaidi ya Google na YouTube na jukwaa na teknolojia la jf respect Sana
Back
Top Bottom