Recent content by kagoda

  1. kagoda

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Mnataka kutuletea Yale ya Kagame. Ndio wote tunafurahishwa na speed yake lakini kubadili katiba hiyo siungi mkono.
  2. kagoda

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Mnataka kutuletea Yale ya Kagame. Ndio wote tunafurahishwa na speed yake lakini kubadili katiba hiyo siungi mkono.
  3. kagoda

    Kuwa upinzani sio 'endorsement' ya kuwa kipofu wa macho na fikra

    Kuna wanaosifia kila kitu japo hata hakina man tiki na kuna wanahoji kujua mantiki. Kama we we ni yes man endelea kuwa hi yo na waachie wanaohoji waendelee na kuhoji. Katika kipindi ambacho serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Kuna mabadiliko mengi ya kutoresults zake ziko wazi...
  4. kagoda

    Devotha Minja wa ITV Morogoro

    Kila mtu ana akili shida ipo kwenye matumizi yake!
  5. kagoda

    Muungano ni tunu ya taifa, tukiuvunja sote hatuwezi kuwa salama

    Muungano ni makubaliano ya nchi mbili au zaidi ili kupata nguvu ya pamoja. Nchi nyingi zinaungana na pale ambapo hamna matokea yaliotarajiwa nchi hizo zimatengana.mfano nchi ya marekani ni muungano wa nchi hamsini na nchi zilizo wahi kuungana na kutengana ni senegambia na Malaysia na Singapore...
  6. kagoda

    Over 1,000 Industries to be built as Construction of $10 billion Bagamoyo Port begins in Tanzania

    Ingelikuwa australia watu wa bagamoyo wangeli uziwa shares na sio fidia mungu ibariki afrika.
  7. kagoda

    Mpaka hapa Dr. Slaa kubali kuwa Lowassa ni ASSET

    Kama unafananisha Mrema na Lowassa unafanabisha usiku na mchana .kama unajirisha kuwa mahudhurio hayana uhusiano na ushindi msinge kodi malori kubeba watu .mwisho mwaka huu vijana wamejiandikisha fully.
  8. kagoda

  9. kagoda

    Tumkodi Mkurugenzi TBL kuiendesha TANESCO

    Ukiangali kwa upeo mfupi myopic glance unaweza kusema tatizo la tanesco ni mkurugenzi lakini hapo unalinganisha usiku na mchana!. Tbl ina wenyewe ownership tanesco haina mwenyewe ni kimaanisha kwamba hakuna mtu hata mmoja anakosa usingizi pale tanesco wapopata hasara lakini kwa tbl kesho yake...
  10. kagoda

    Huyu Lowassa si mtu wa kawaida, sasa nimeamini

    Ndugu jamaa wala asikishulishe ni mchonganishi anataka kijenga chuki ndio zao hizo
  11. kagoda

    Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Kasome katiba !
  12. kagoda

    Mnyika, Kukimbia sio suluhu ya kuondoa tatizo

    Kweli CCM mmechoka hata hoja hamna .mbunge ni mwakilishi wa eneo na kwa hilo kazi yake ni kuhimiza maendeleo .Ka zi ya kuleta maji ni ya ccm ambayo imewashinda kwa miaka 54
  13. kagoda

  14. kagoda

    CUF waibua Mgogoro mpya, Shaibu Mketto kuzungumza kesho

    Mtasoma namba mwaka huu!
  15. kagoda

    Ufafanuzi: Kisheria Lowassa sio fisadi

    Mmchanganyikiwa kwenye halmashauri kuu mliimba mnaimani na lowassa je hamkujua ni fisadi ? mwaka huu imekula kwenu!
Back
Top Bottom