Recent content by kagiha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Mimi nimewahi kipata dawa hapo. Zilinishinda sababu nilitibua vidonda vya tumbo niliporudi akasema kwanini hukusema. Nikapoteza imani kwake sababu hata dawa zingize nilizopewa nesi alishindwa kunipa maelekezo vizuri. Kama hiyo dawa iliyonishinda ikimwagika chini sakafu inapauka na hairudi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa na uwezo ma group ya whatsap na whatsapp yenyewe ingefutwa inatuharibia ndoa

    Natamani turudi kwenye simu za zamani, hizi za sasa zina mapepo yanayo vunja ndoa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Katika wasanii wenye kujitambua ni huyu dada.
Back
Top Bottom