Recent content by kagebuke

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Umepata mda wa kuzima jiko kweli huogopi kifo
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

    Embe+passion+nanasi+stafery+tikiti maji kitunguu sumu+karoti+tangawizi =bonge la juice Haina haja ya kuweka sukari
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo alichofanyiwa Waziri Mkuu Majaliwa si cha kiungwana!

    kwa point yako bado wewe cyo mkulima kwa taarifa yako mkulima anapopeleka korosho ghalani lazima zimwagwe chini zichambuliwe kubwa tu ndogo zinarudishwa nyumbani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Malecela, Lowassa na Mbowe wamzika mama Mercy Anna Mengi

    Mzee ana umri gani kwa sasa? Mama Mercy kama Cjakosea alikua 70+
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Balozi Alphayo Kidata, amwondolea hadhi ya Ubalozi!

    mawazo yetu yanaendana Ila kama ni hivo pangelikuepo ulazima wa kumvua ubalozi
  6. K

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe ni mgonjwa, ameenda kwenye matibabu Afrika Kusini

    Unamchokaje na wee cyo chadema?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Siasa ni hatari kwa mustakbali wa Taifa

    Waweza kutaja baadhi ya wabunge ambao wameambiwa hawatoweza kuteuliwa 2020
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe na Augustino Mahiga, nani alikuwa Waziri bora wa Mambo ya Nje?

    Ubora wa Membe na Mahiga bado nasimamia hoja ileile ya nani wakutolewa kafara kabla ya 2020 uringanifu huu bado unalenga movement ya membe basi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Kwani kuna mtu atatolewa kafara mbona movement ya membe before 2020 katiba imebadilishwa??
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Habari haitofautiani na gazeti la leo la tanzanite
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Newala wagomea bei ya korosho

    siasa zinaingia maana mkuu wa mkoa wa Mtwara amewahi kuwatangazia wananchi kwamba korosho mwaka huu itauzwa mpka elfu tano kwa kilo wakulima maswala ya soko la dunia hawaelewi wao wanasikia na kuelewa kinachosemwa na viongozi wa kisiasa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Serengeti: Polisi wakiri kumuua Edward Mahende kwa kumpiga risasi

    Bado wimbo Wa Tanzania nakupenda kwa moyo wote unaimbwa mashuleni?
Back
Top Bottom