Huyo aliyeyakagua na kutoa wito wa kutokutumika ni nani? Sisi tumefika pale miaka ya 98 tukaambiwa mara yamekaa upande sijui yameegama, mara sijui yametitia upande, lakini hatukuwahi kuona tatizo hata siku moja zaidi ya kukatika kwa zile kingo za kwenye viambaza vya nje. Mimi sidhani kama...
Kaka, Pasco, kwanza nimefarijika kusoma story yako ambayo imechimbua hadi ndani kabisa na kueleza hisia zako zote kuhusu sekeseke linaloendelea. Ninaomba nijibu kama ifuatavyo:
Kwanza bado nabaki kwenye msimamo ule ule wa kuunga mkono maamuzi ya CHADEMA ya kuamua kuwaadhibu kwa kile kilichokuwa...
Kama jambo hulijui jitahidi basi kunyamaza kimya. Ukipayuka payuka kama unavyofanya unaonekana hayawani. Fuatilia chanzo cha Ben kuingia kwenye kile kikundi cha masalia, usikurupuke tu.
Nakubaliana na wewe kwamba asamehewe iwapo atakubali kuomba msamaha. Ni wakati mzuri kwa wale tulio karibu na Mkumbo kumshawishi afanye hivyo kwa faida yake na ya chama.
Niliisoma hiyo habari, lakini haikuwahi kupata ushahidi wa moja kwa moja. Lakini pia kama wazo lake lilikuwa ni kutowafukuza badala yake wapewe onyo, basi ni dhahiri kwamba bado ni mtu anayeamini katika msamaha, na yafaa asamehewe.
Siyo kila anayekuja na mawazo tofauti au mtizamo tofauti ni mwanaCCM. Acheni utoto huo. Ni kwa lipi baya nililomsema Ben Saanane? Sijawahi kutofautiana na Ben Saanane, ila nimemtolea mfano tu, focus ya mjadala hapa ni Kitila, kama una la kuchangia kuhusu Kitila fanya hivyo.
Watanzania wengi bado wapo katika hali ya tahayari kufuatia kufuatia maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA (CC) kuwafukuza wanachama wake watatu ambao walikuwa na majina makubwa ndani ya chama hicho. Ni wazi kuwa CHADEMA haikumuangalia mtu usoni, ikarusha lungu lake bila kujali linamwangukia nani...
Well, wahenga wanasema mcheza kwao hutuzwa, lakini Yesu anasema Nabii hana heshima kwao. Ni kama alivyokuwa Jackson Makwetta. Kila mtu alimuona kama mtu makini sana. Lakini akirudi Njombe kila mtu alikuwa anamuona kama ananuka. Alikuwa anachukiwa na kila mtu. Lakini kwa sasa hatutaki kuangalia...
kwenye hoja ya kubadilisha mfumo wa utawala, nakuunga mkono kwa sana. Sina tatizo katika hilo. Lakini kuhusu Mwakyembe kutomtaja moja kwa moja Kikwete, nakuhakikishia kwamba linapokuja suala la kuangusha serikali kunahitajika busara ya hali ya juu sana. Hakuna serikali itakayoanguka bila...
Nakuunga mkono kwamba kinachohitajika ni mabadiliko ya mfumo kama alivyosema fukujima. Sina shaka na mtizamo huu. Nia yangu hapa haikuwa kujaribu kuwashawishi watu ili wampigie kura Mwakyembe, bali ilikuwa ni kueleza mtu safi aliyebaki CCM. Kwangu mimi kama tutaweza kumshawishi aungane na...
Hakuna anayepiga kampeni hapa na hakuna aliyesema Mwakyembe agombee urais, ila kinachosemwa hapa, ni kwamba katika magamba yote, Mwakyembe pekee ndiye mwenye afadhari kwa nafasi ya Urais. So to say, hata kama akiamua kuungana na CHADEMA huyu anakubalika kwa dhati kabisa. Na haitakuwa shida kumpa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.