Recent content by kafyeta

  1. K

    Msaada: HUAWEI E303s-2

    Nami nakuombeni msaada ndugu zangu wa jf jinsi ya kuapgraid sofware ya huawei mt 1 u06 kutoka 4.1.2 kwenda 4.4.4 andoid
  2. K

    Tiba ya magonjwa zaidi ya 70 hii hapa

    Je na mwanza mpo na kama mpo maeneo gani?
  3. K

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Mheshimiwa chef mkwawa wiki iliyopita niliomba msaada wawana jamii forum mimi nina samsung galaxy not 3imefuta imei inaandika nilnil je nifanyeje ili ipone chef naomba msaada wako
  4. K

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mkuu mimi nina samsung galaxy not3 imefuta imei niko mwanza jamaa wameshindwa je mtaalam unanisaidiaje hapo
  5. K

    Tujadili kuhusu Mifumo ya Kufunga channel, inayotumika na Pay TV kwa hapa kwetu

    Sasa mkuu hebu nisaidie mimi nina licer ya qsat 113g inakata sana chenel sasa hebu nipe msaada mtaram nifanyeje
  6. K

    Je! naweza kupata Clouds TV kwenye dish la FTA?

    Jamani wadau jamii teck maarifa nakuombeni msaada kig'amuzi changu cha qsar kimekata chanell je nifanyeje nakuombeni msaada wenu
  7. K

    Jinsi ya kutumia namba mbili za whatsapp kwenye simu moja

    Jamani wadau nimedownload hii file lakini inanirudisha kwenye whatsap ya zamani je nifanyeje naomba kusaidiwa
Back
Top Bottom