Recent content by kafuta ambele

  1. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Kuna baadhi ya vitu hapa vinaaply makampuni ya kimataifa tu lakini makampuni yetu ya kiswahili watakuona mjuaji hapo mfano ni hyo tarehe ya kuzaliwa kwa sababu unakuta wameshaweka range ya umri wanayemtaka na wengine unatuma cv tu wanajuaje umri wako ili uwe shortlisted?? Lakini vingine vyote...
  2. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania CCM kama mnataka kumfukuza Nchimbi ilo ndo litakua anguko letu bado suala la Polepole sio kwamba tumesahau

    Kuna kauli alisema lisu jana kwamba kama katiba na masuala ya uchaguzi hayatarekebishwa kuna maafa makubwa yatakuja kutokea kwenye chaguzi za nchi zetu ukiachilia mbali haya ambayo yamekwisha tokea. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwenye haya matatizo watazamwe wananchi na sio chadema...
  3. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Hawezi kujitetea nahisi atafurahi kupata hiyo fursa ya kupanda hyo mbegu ya ukombozi hata asiponyongwa kweli
  4. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Nawaza tu hii kesi (dhidi ya Lissu) huenda ikawa turning point ya mambo mengi Nchini

    Mabadiliko huwa si ya siku moja
  5. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Bora tunafunguliwa macho kumbe ukiambiwa una kesi ya kujibu jitetee ndo inavyokuwa tulizoea kusema nina watoto sita wananitegemea🤔🤔
  6. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu aendelea kujitetea - Agosti 24, 2026

    Nafikiri Lissu amefurahi kupata formal platform ya kusema mambo mengi aliyokuwa akipanga kuyasema tena katika mtiririko mzuri bila kukatishwa na akisikilizwa na wananchi wengi
  7. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Bikra is Overrated

    0 Kilometre is overrated Usiwe excited na LC 300 zero km kwa sababu itachakaa na itafika milage kubwa pia 😁😁😁 we chizi kweli
  8. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanawezekana kuhusu Nchimbi na kauli zake.

    Katika mbinu 1000 za kuendelea kubaki madarakani za ccm wametumia 6 tu ya saba ndo hii mnayoiona mtastukia ilikuwa ni mbinu mwaka 2031
  9. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania KWANINI Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA utumie gharama kubwa kuliko wa CCM

    Huenda ulitapeliwa ada Mmoja kati ya hao anakodisha kumbi mwingine anaweza kutumia kumbi fulani za pamoja Mmoja anakodisha magari mengi mwingine anaweza kutumia magari yaliyopo Rasilimali watu pia zinatofautiana kuna media coverage na mengineyo Nafkiri nitakuwa nimeustua ubongo wako kidgo
  10. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Maridhiano yaanze na hao walioenda pale ukumbini hii hali ikidharauliwa tunaenda pabaya kama taifa lilikuwa limeungana na linavumiliana
  11. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania AI ndi mwisho wetu kama watu

    Ai sio google kwanza ni tool ambayo inahitaji upate mafunzo ya namna ya kuitumia ipasavyo. Pili unahitaji kuijui kwa kina kazi unayotaka Ai ikufanyie na uipe miongozo sahihi pia uweze kukagua kazi husika kama iko sawa kama ulivyokusudia . Na ndio maana kutokana na hayo mambo kazi mbili...
  12. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Kujijenga ili aende wapi na ndo mtendaji mkuu wa serikali. Au hamjui kwamba hawezi kuwa raisi makamu wa raisi au spika wa bunge kwa cheo hicho alichonacho sasa. Nafikiri anafanya tu kazi yake kutengeneza legacy ila sio kuwa na kusudi lingine. Nawasilisha
  13. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    QFL wana ma agent wao kama tanfoam kweli
  14. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani

    2030 sio mbali sana ule mkeka wa sheikh yahaya bado unapumua ngoja tusicash out
  15. kafuta ambele

    JamiiForums Tanzania Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

    Sisi kwetu wakati wa maandalizi ya kwenda kutoa mahali mashangazi wanakuuliza vipi umekuta bado mdogo ukisema umekuta ameshakua kuna vitu vinabadilishwa kwenye ile package ya mahali. na ndugu zake na mwanamke automatically watajua kwamba mtoto wao amekutwa used na huwa ni aibu kwao kuna baadhi...
Back
Top Bottom