Recent content by kadozi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo aomba wananchi kufanya maombezi kuzorota kwa afya yake

    Huyu hakustaafu,alichomolewa kutoka kwenye nafasi hiyo muhimu kutokana na kashfa kubwa na mbaya. Kwa taarifa yako,hadi sasa katika misa takatifu zote,hakuna kiongozi yeyote wa kanisa anayefanya reference yake kama Askofu Mstaafu.Kwa sasa Askofu Mtega amehamia Germany.Haijulikani lini atarudi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2015 Apson awatumia kina Bashe kuwachafua Membe na Jack Gotham

    Nawashangaa ninyi wote,kwa kuwa sioni sababu ya kutwishana lawama hizi za kipuuzi,ilihali mnajua fika kwamba UTAWALA HUU ULIOPO SASA uliingia madarakani kwa kutumia fedha za EPA. Kwa hiyo wewe na hao wengine wote unaowataja hapa ni sehemu ya balaa hilo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu safari ya jaji mkuu washington DC, maafisa wake na Francis Nyalali

    Hapa ndipo nchi ilipofika na wakulaumiwa siyo Viongozi bali wananchi ambao wengi wao wananunulika kwa bei ya chipsi mayai na kuuza kura zao.Yaani ni gharama kabisa na kubwa kununua Kuku wa Kienyezji kuliko kumnunua Mtanzania.Watu wazima wananunulika kwa sh 5000 kweli hapo kunanchi.Mtu anapewa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania ESCROW: Bernard Membe anapofanya juhudi za kuiangusha serikali yake

    Mwaka 2005 Kikwete alitangaza rasmi kugombea uraisi akiwa ofisi ya CCM mkoa Pwani kibaha na kwa hiyo haikuwa Nkrumah Hall
Back
Top Bottom