Recent content by kadololo

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ijue adha ya vitanda vya double decker,hii sitaisahau.

    Huyo aliota ndoto ya kukojoa ndo maana akashusha
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumchukua mtoto kwa nguvu, nifanyeje?

    My dada huyo anataka kukuharibia ndo maana ameanzisha visa cha msingi washirikishe kwanza watu wakubwa kama kaka zako wakubwa wajomba na hata wazazi wako kama wapo naamini watatumia busara zaidi kwani wanaweza kumuita huyo mzazi mwenzako na kumshauri zaidi. Lakin ukiendelea kukaa kimya mwisho...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Kuna Msemo unasema kurudia rudia utarudia na mengine nikupe kisa cha kweli kuna rafiki yangu mmoja aliachana na mumewe kwa kisa km chako ,siku zikaenda maisha yalimpiga jamaa kumbe tayari kishaukwaa akaanza kumtafuta mkewe warudiane . Roho ya mama huyu ilisita sana kurudiana naye aliomba...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini upo single?

    Npo single kwa sababu ubavu wangu ulienda kuupikia kuni
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kushauriwa: Nimepoteza mapenzi kwa msichana wangu

    Mmmm unacheza na moyo wa mtu bora usingetoa ahadi za kuoa ni neno dogo lakin lina nguvu sana kwa wanaume wengine huwa hawatamki.kuoa. Jifunxe kwa hilo.
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki mdogo wake wa kike anitembelee

    Hainaga ushemeji tunakulaga
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amegundua skendo zangu

    Mmm dada wa watu katulia we unachepuka halafu unasema unampenda siku akisafiri miez si ndo utavuta mwingine kabisa. Tena mwalimu ambae ni kioo cha jamii hapo imekula kwako mkuu endelea tu na kamchepuko.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Furaha ya mtoto inapotea kwasababu ya "Mvuje"

    Hayo ni maagano wala usimfunge isipokuwa huwa wanaita michango ya watoto km kusumbuliwa na tumbo hivyo huwa wanampa tu dawa ya kunywa kutok hospitali kwa wengine naona huwa wananunua kwa wamasai lakini siyo kumfunga hyo ni imani potofu
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushaur wenu tafadhali sijui Ile Sku ilikuaje

    Cha msingi endelea kumuomba mungu azidi kukupa amani ndani ya moyo wako utajikuta umemsahau kabisa km roho yako ni nzito kurudiana naye na umemtoa moyon mwako basi achana naye usije juta tena baadae.
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Sijawah kujichua wala sijui kuhusu hlo la kujichua hzo ndoto hutokea tu ninapokuwa usingizini.
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Ubarikiwe sana kwa kunifungua bwana mungu akupe ufahamu zaidi nimebarikiwa sana.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Sivyo Km unavyofikiria ndugu yangu nahsi hujasoma na kuelewa asomae na afahamu.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    A Amina asante kwa msaada
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    Sivyo km unavyofikiria
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na ndoto za mapenzi

    I Ingependeza km ningepata na vifungu vya biblia ili nirejee
Back
Top Bottom