Recent content by kadogoo wakwetu

  1. kadogoo wakwetu

    Ni ugonjwa gani huu?

    Ahsante sana
  2. kadogoo wakwetu

    Ni ugonjwa gani huu?

    Asante kwa ushauri mzuri.Mungu na akubarikie na kukulinda.
  3. kadogoo wakwetu

    Ni ugonjwa gani huu?

    Huu ni ugonjwa gani,unasababishwa na nini,na unatibiwa kwa dawa gani?
  4. kadogoo wakwetu

    Singida United Football Club

    Hongera sana homeboys singida united
  5. kadogoo wakwetu

    Yanga vs Ngaya live updates

    Kweli
  6. kadogoo wakwetu

    Yanga vs Ngaya live updates

    Viva yanga
  7. kadogoo wakwetu

    Yanga vs Ngaya live updates

    Kwa muda[emoji1] [emoji2]
  8. kadogoo wakwetu

    Kilimo cha Mitiki: Utaalamu na biashara yenyewe

    Nilitokanazo mbegu ifakara nikaziotesha ktk kitalu hapa ukerewe lakini hazikuota,na kuna miti ya mitiki kanisa LA roman nansio lakini hutopata mitiki iliyojiotea hapo chini.
  9. kadogoo wakwetu

    Pata vifaranga vya kuku aina tofauti kwa bei rahisi

    Mbona hujaweka bei ya bata bukini na kanga?
  10. kadogoo wakwetu

    Mbegu za majani Mchunga zinapatikanaje?

    Nilipokuwa singida yalikuwa yanapatikana kwa wingi,kwa sasa nipo ukerewe yanapatikana kiasi,nilikuwa nauliza upatikanaji wa mbegu kusudi nilime mwenyewe.
  11. kadogoo wakwetu

    Mbegu za majani Mchunga zinapatikanaje?

    Majani haya yaitwayo mchunga hupendwa sana kuliwa na sungura kwani ni machungu,japo baadhi ya watu huyatumia kama mboga.je kuna upatikanaji wa mbegu zake katika maduka ya pembejeo?
Back
Top Bottom