Salamu wakuu na poleni na majukumu
Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri
Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake)
Na muda ulipita na...
Kupanda jahazi kutoka bagamoyo,Kunduchi,na mbweni kwenda Zanzibar kwenda kununua betri tiger, tv za chogo,sukari,radio,na na fridge tena nauli ilikuwa 3000
Kwenye jahazi hapo inabidi ukaze roho maana mara umepigwa na wimbi maji yanaanza kuingia ndani, mnaanza kuchota na kutoa nnje yaani full...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.