Tuachen masihara kwenye vit serious bas..yaan from no where mke wake amwambie ivoo.kwel..mm mitaa anayokaa naikuaa nami naish hkow..ni kwel maji yanasumbua kitaa hki..tunaomba mamlaka zitusaidie.maana khali n mbaya
Hahahaha..nmechekaa sn as wiki Moja ilopita nlikua Sehem kama hzo..muziki classic speaker huon..wifi wanakupa.wateja wachache n hakuna bodabda nje...nlipang kupiga biaa 1 ya pili nkauliza bei..kumbe tofauti n mia 5 tu..daah..nlienjoy sna kwa kweli...sometyms hutakiw kuogopaa ulizaaa kwnz
Hahahah....iyo stagee kavu sana....stage ya kujifanya kilaa simu latest anayo..af na ziile kilaa Sehem nzur anayoendaa kupiga picha!unesahau na kufatiliaa vitamthilia uchwaraa vyaa saa 3 usiku vile
Walikuepo wengi wakapitaa..wakina liquid,mandongaa na sasaa yeye..cha muhimu atumie fursaa vizur ss wabongo tunawachoka watu mapemaa sana..ila ajitahd ajifunze kiingerezaa kdogo na jografiaa kdogo itamsaidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.