Ghafla nimemkumbuka Kitwanga,waziri wa mambo ya ndani mstaafu

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,070
1,842
Kipindi akiwa waziri wa mambo ya ndani,nchi ilikuwa shwari kabisa, Ongea yake kama mlevi ilimponza,lakn ndivyo alivyo,,popote alipo mbunge huyu,mwambieni mimi Pazia 3 nimemkumbuka,uongozi siyo majigambo!!
 
ALIVYOTUMBULIWA KITWANGA NKASEMA KAMA MAGUFULI AMEMTUMBUA HADI SWAHBA WAKE WA KARIBU BASI TUMEPATA RAIS.. NKASEMA YEYOTE ATAKAYEKUWA MZEMBE ATATUMBULIWA......
 
Kipindi akiwa waziri wa mambo ya ndani,nchi ilikuwa shwari kabisa, Ongea yake kama mlevi ilimponza,lakn ndivyo alivyo,,popote alipo mbunge huyu,mwambieni mimi Pazia 3 nimemkumbuka,uongozi siyo majigambo!!
Wasukuma wenyewe wa asili hata wanyantuzu hawana tabia za ukatili kama wa huyo rafiki yake naanza kuamini mijadala ya JF kuwa huenda ni raia wa Rwanda
 
Duh kumbe alistaafu uwaziri,ina maana kuna umri wa kustaafu uwaziri?
 
Back
Top Bottom