Mhhh Kwa UK hv mtu anaweza chepuka kweli na huo umbea wa huko? All in all tafta kazi jihudumie kuna wanaume nature Ni kutokutoa hela hata ukute hana mchepuko basi tuu wako hvy Wapare wakiongozwa... Pia jifunze kumkumbusha wengine wanajua kujali ila mpk akumbushwe"
Ubaya baadhi yenu msioujua Ni kwamba Mwanamke akupende na akuthamin mthamin kwanza usianze na makuu rudi na chocklate tuu uone utakavyorukiwa..
Nakuhakikishia wengi wa wake hawapendi kuchepuka ila kutobadilika Kwa wanaume chanzo kikuu..
TABIA HIZI DAH..
Kiukweli kuna tabia ambazo utaongea miaka na miaka lkn MTU kubadilika au kuziacha humuwia vigumu mpk hapo ndipo baadhi ya wake huamua kuchepuka. Hatupendi kuchepuka ila Kwa haya dah uvumilivu huwa mgumu...km halikuhusu pita sio lazima ucomment"
1: Kumpa Mke wako hela hata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.