Recent content by kadangi

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mwl wa sekondari nipo Nzega mjini natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka MOROGORO WILAYA YOYOTE, SENGEREMA, MISUNGWI,GEITA, NGARA, KATAVI, KASULU. 0762741669
  2. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nipo nzega-tabora natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka morogoro wilaya yoyote, idara ya sekondari nipo kazin miaka mitatu 0762741669
  3. K

    Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Huku tabora vijijini mkaa hadi elfu nne(4000) gunia tena mkaa mzuri,
  4. K

    Teachers‘ Junction

    mimi nina diploma ya kiswahili&kiingereza naomba nafasi kufundisha somo la kiswahili mkoa wa Morogoro namba 0762741669
  5. K

    Teachers‘ Junction

    Nina diploma ya ualimu masomo kiswahili na kiingereza uzoefu kazini miaka 3, natafuta shule ya private kufundisha mkoa wowote, namba yangu 0762741669
  6. K

    Maamuzi yangu binafsi juu ya tatizo la ajira, ila si lazima uyafate

    kwa sasa hata ualimu unaweza soma usipate ajira serikalini kwa haraka; matokeo yanatoka baada ya miezi 6, ajira baada ya mwaka, ongeza miaka2 ya diploma na mingine uliyokua chuo na mtaani. Kama ni ualimu nakushauri tumia cheti cha form6, tafuta ajira ya muda upate japo pesa kidogo huku...
Back
Top Bottom