Recent content by kachumbari chachu

  1. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari ndugu zanguni Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 32 natafuta ajira yeyote ile ninaishi Dar es Salaam,elimu yangu ni kidato cha sita na nilikuwa nafanya kazi na hizi kampuni za utafuti wa masoko. Ninawaomba wandungu kama kuna mtu anahitaji mfanyakazi yeyote wa shughuli yeyote...
  2. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Mgombea wa CCM, Deo Filikunjombe apita bila kupingwa

    Maneno ya mfa maji......hamuna mpya UKAWA
  3. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa abwaga manyanga!

    Makapi hayana nafasi Mtanyooka bila ya kupiga pasi Sisi ndo sisi Kwetu hakuna nafasi Mafisadi hayana nafasi Watajuta na yao nafsi
  4. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Dr Slaa wawachanganya UKAWA, waitisha kikao cha Dharura Buguruni kuokoa jahazi

    Usahihi: hakuna kikao Chochote cha dharura hapa offisini ( CHADEMA) Chadema Kwanza Nyie CHADEMA acheni unafiki kwenu kunafuka moshi na hajasema hapo ofisini amesema Buguruni katka ofisi ya CUF
  5. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyasi bandia au orijinari

    Hizi ni nyasi bandia au orijinari??
  6. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Hizi habari mbaya kwa mapopoma wotee wa CHADEMA Namshauri Padre Slaa akatubu makosa yake yote ya kuliasi kanisa Katoliki
  7. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    CHADEMA wamejimaliza wenyewe,Lowasa hata kwa dawa hapiti labda agombanie Urais huko Arusha lakini kwa Tanzania ataisikia ndotoni Na yule Padre wenu Slaa ni heri arudi madhabahuni akatubu dhambi zake maana ni aibu na fedhea kwake
  8. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Wanasiasa Wanafiki....
  9. kachumbari chachu

    JamiiForums Tanzania Picha: Jembe limechukuliwa CCM

    Hahahahaaha......Penda sanaaaa
Back
Top Bottom