Recent content by Kachonka

  1. K

    Kwa nini watu wengi sio waaminifu?

    Hii inatokana na kasumba kubwa ya tamaa katika maisha na kutaka kupata mali kwa haraka zaidi pasipo kuwa na malengo ya kukuza biashara tunayoifanya.
  2. K

    Gwajima sio wa kupuuzwa, ushauri wake kuhusu Corona umenitetemesha leo

    Inamaana hata Ukimwi nao watasema tushawekewa microchip...Ila jamani watanzania kuna muda tujitahidi kufunguka kwa kile tunacho ambiwa kwa maana tutakuja pewa matango pori. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

    Ahsante sana. Kwa uzi wako mzuri..hata vitabu vya dini vimeandikwa wanawake tuishi nao kwa akiri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Majina ya maeneo na maana zake

    Namanyere..Namanywere (Chizi mmoja alikuwa anaishi karibu na kisima na alikuwa na nywere nyingi hivyo kuitwa namanywere baadae Akaitwa Namanyere Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom