Ni kwa sababu watendaji wa serikali wenyewe wanaosimamia na kuratibu huduma hizo za serikali hawajali na hawana imani nazo.
Nashauri iundwe sheria itakayowataka viongozi na watendaji wote wa serikali wawe ndio wateja/wadau wa kwanza wa huduma za serikali kuanzia kwenye ngazi za...
Nadhani ni wakati wa kuwa na sheria ya kuwataka viongozi wote wa umma wawe wadau wa kwanza wa huduma zote za kijamii zinazotolewa na umma. Watoto wao wasome shule za umma, watumie usafiri wa umma, hospitali za umma nakadhalika.. sina uhakika kama kuna Mheshimiwa mbunge hata mmoja anayesomesha...
Ifike hatua sasa kampuni za magazeti ama kwa kujitegemea au kwa kushirikiana wao kwa wao ziweke printing machine kwenye kila mkoa au wilaya ili uchapishaji ufanyike huko huko na usambazaji uanzie hapo.
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hongera kwa kuwa sehemu ya waleta maadiliko. Nakushauri jaribu kutemblea tovuti hizi:
1. vliruos.be then nyosha moja kwa moja kwenye kitufe cha project funding.
2. si.se --apply--- funding and grants.
*wafadhili/wadhamini wapo wengi sana tatizo letu tunashindwa kutimiza t & c ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.