Recent content by kabwelanakose

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar zote 2 zilikuwa nchi huru na pesa zake

    Zanzibar ilikwa nchi kama ilivyokuwa tanganyika
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiomjua BENJAMIN MKAPA, tafadhali soma hapa!

    Rais mstaafu mr.clean apewe sifa zake zote,bila kudhulumiwa aliuwa watu alijenga shule msimpunguzie wala kumuongezea aliyoyafanya,yanajulikana hayawezi kufichika yalitendeka hadharani, kama una kumbukumbu ya mazuri sema na mabaya pia yasemweeee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jambo TBC1. swala la kuchinja

    Kwa hakika kila mwenye akili salama anatambua kwamba hii ni nchi ya kuvumiliana kwa kuwa tunaamua sasa kuwa kila dini kivyake,tuanzie kwenye kuchinja twende kwenye mahoteli,hosptali,halafu tugawane na siku ya kupumzika kisha tuhamie kugawana na madaraka ya uongozi wa nchi yetu tukufu,na kila...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

    Kwa hakika jami itamkosa mtu muhimu,ambaye alipenda kusimamia haki na kuifundisha jamii kuishi maisha yanayozingatia upendo.amni na ushirikiano,MUNGU AMUHIFADHI MAHALA PEMA PEPONI AMIIN
  5. K

    JamiiForums Tanzania Neno Fupi La Usiku Huu: Ukimya Wa Marafiki Unaumiza Zaidi Kuliko Kelele Za Maadui...!

    Ni hatari sana kwa kuwa hautojua fikira,mawazo na hisia zao juu yako
Back
Top Bottom