Ila mwisho wa yote tutakutana mbele ya kiti kimoja cha hukumu. Kwa nn tusiishi bila ngono zagao na tukawa na utaratibu unaokubalika mbele ya macho ya wazazi wetu, ndugu na Muumba wako? Take care it is a perishable days.
Mungu saidia watu wako wape macho,masikio, na akili ili wapate maarifa na ufahamu juu ya mambo yanayotukumba. Pasipo wewe hakika hatuwezi Mungu bariki Tanzania.
Watu wakimwamini Mungu na kufanya atakavyo:- je vita vitatoka wapi,malumbana,fitina, wivu, na rushwa, unyonyaji ambavyo vinarudisha maendeleo nyuma? Ebu tumaanishe uone mabadiliko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.