Recent content by KABUYE R.C

  1. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania Ajali Soni-Lushoto: Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara

    Poleni sana wote mlopoteza ndugu na jamaa na tuwaombee majeruhi wote mungu awape wepesi wa maumivu ili wapone haraka.
  2. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa na wenzake 61 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Hii inasikitisha sana, ina maana polisi wanatumiwa na ccm kunyanyasa wapinzani?
  3. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania List ya Vyama 21 vya Siasa na Viongozi Wake

    Tunashukuru kwa urodha hii
  4. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Serikali za Mitaa: Ni mwanzo wa mwisho wa CCM?! Au ni hasira tuu za Escrow, na Katiba?!

    "mwenye nguvu ataangushwa na aliye mnyonge atainuliwa"
  5. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

    Vifo vya akina mama na watoto vimekuwa tishio hapa tanzania. Hebu fikiria ni akina mama wangapi wnakufa kwa uzazi pingamizi? Je, serikali haioni? Kuna haja gani ya kuwapeleka wakina mama wajawazito hospitalini kama anahudhuria kliniki kadi yake inaonyesha hana tatizo, halafu wakati wa kujifungua...
  6. KABUYE R.C

    JamiiForums Tanzania Daktari jijini Mwanza afia gesti jijini Dar

    R. I. P Doctor Raymond
Back
Top Bottom