Recent content by kabuki 11

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

    Sasa watawapendaje wakati wanavibamia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwani huko usa kumetokea nn
  3. K

    JamiiForums Tanzania Marekani kutafakari upya hadhi ya Kenya. Seneti ya USA imeagiza Uhusiano kati ya Kenya na China, Russia na Iran Uchunguzwe. Tanzania tuko salama!

    Sera yetu ya mbambo ya nje ni hatufungamani na upande wowote hiyo tangu uhuru hii Sera ilitusaidia kupunguza maadui ila kenya Sera zao ni kama usa au UK kupenda kuingilia mambo ya watu acha kiumane.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Alliens kuivamia dunia?

    Chief au ndiyo nchi mpya inakuja
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini China na Urusi hazina uhuru mkubwa wa kuabudu?

    Dini ni upumbavu mungu hana dini binadamu yupo hapa duniani mamilioni ya miaka dini zimeanza miaka 3000 iliyo pita na dini kongwe Buddha
  6. K

    JamiiForums Tanzania Samia Aifungulia Russia Mlango wa Uranium Namtumbo: Je, Marekani Itavumilia?

    Kwahiyo ulitaka tusichimbe nyie tunawajua umeishapata bahasha tayari umeanza kelele kama zile za bomba la mafuta ya uganda kama imekuuma andamana tuache kidogo kazi nautu.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Neno uzarendo linamaana ya nchi yako kwanza kinachobaki ndicho apewe wakuja hitimisho uzarendo ni ubaguzi je nivibaya tz kuwa wazarendo?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wanyama waliokuwa katika safina ya Nuhu wakati wa gharika walikuwa wanakula nini?

    Safina hajawahi kuwepo hayo ni mambo ya kubuni kama picha mwendo tu hakuna sehemu yote sayansi imeonyesha au kudhibitisha
  9. K

    JamiiForums Tanzania EU: Pesa zinazojenga Afrika zinatoka Ulaya lakini Wakandarasi ni Wachina ambao hawajatoa hata senti Moja. Afrika ijitathmini

    EU wanafiki tangu uhuru hakuna kiwanda walijenga tz kazi kutuuzia vitu vyao ili teknolojia yao isisambae laki China 🇨🇳 kajenga viwanda pwani yote ya tz morogoro dodoma nk sasa nani twende nae?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Misaada inalemaza akili mf nchi zote zilizo wekewa vikwazo zimepambana na kujitengemea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Leo hii Esther Bulaya ni wa kusema CCM aliyohamia ni sawa na Barcelona na CHADEMA iliyomtengeza kuwa Bora alivyo ni Leicester City iliyoshuka daraja?

    Kuamini viongozi wa waupinzani ni kuupoteza muda kwani msigwa nae hukumsiki
  12. K

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia Hii Vita Watanzania tumlilie Mungu na Wazungu !! Ulaya na Marekani, hawatoutambua Uchaguzi wa 2025 !!Vikwazo muda wowote kuanzia sasa!!

    Hayo yalitegemewa baada ya kukosa gesi ya lindi wakapewa wengine kama wanauchungu kweli mbona uganda,Rwanda,kongo mbona viongozi wao ni wa milele umasikia wanaongea kitu. Chief tuache tupumzike kidogo
  13. K

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni

    Sasa kwanini mnavunja maduka na kubeba mali za watu kama nyinyi sio wakora nn
  14. K

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Jamani mbona kimya au vita imeisha
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

    Maandamano ya kenya ni ukora unavunja duka unabeba mali za watu unasema haki hujui kuwa wanamikopo ya benk tz wako sawa
Back
Top Bottom