Recent content by Kabukabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

    Siku mkishituka mkaacha kukariri "MADAWA YA KULEVYA " itakuwa a little bit too late. Sijaona alichifanya Paul / Daudi kuhusu madawa ya kulevya ,
  2. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Kwani Ruge si WA clouds, mbona kesha confirm hii story au mjengo gani unaongelea?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    Kazi gani anachapa? Next time atauwa. Tutaona TV gani ataitumia. Na hapo alipo hana amani. Uongozi upendwe na unao waongoza.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yusuph Manji awekwa chini ya ulinzi siku 20, aiomba mahakama iingilie kati

    Sidhani nae alikuwa mjinga kiasi hicho. Anaweza kuwa na residence ya nchi ingine ambayo inaruhusiwa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Toka Bungeni: Mali mpya za Makonda zatajwa, atakiwa aseme pesa anatoa wapi

    Kila kitu kinawakati wake, Tusubiri asherekee mwaka WA pili
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima achukuliwe hatua za kisheria

    Sheria gani kavunja, kusema anamjua Paul Makonda kama Daudi, vipi akiwa anasema ukweli. Makonda approve yeye sio Daudi and halafu a sue
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

    Hata wewe uliiweka kwa instagram yako je umeshaomba follower wako msamaha
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gwajima anaendelea kumshikia bango Makonda, adai amekimbia nchi kama Magufuli alivyotabiri

    Bashite ni special, pia kuna wakati aliitwa na watu WA haki za Binadamu sijui kama alienda.
Back
Top Bottom