Kwani wabunge wa upinzani wana budget ya maendeleo? au budget inatoka selikalini baada yakuidhinishwa na bunge? Kama haongei kitu hana maana. Lkn kama anaongea na kuiambia selikali matatizo yawananchi na hakuna kinachoendelea yeye angefanyaje. Angetoa pesa kutoka mfukoni mwake?
Pengine mimi sijaelewa vizuri kuhusiana na hili sakata la CUF. Mbowe anapozungumzia ishu ya Lipumba inahusianishwaje na sababu zakujiuzuru na hatimae kutaka tena uwenyekiti? Kwamba kujiuzuru kwa Lipumba kulisababishwa na Mbowe (Chadema ) au kutaka kwakake( Lipumba) kurudi kwenye uwenyekiti...
kua kiongozi si suala la kua na elimu ya juu tu. hao wasomi walio wengi wamefanya nini kuleta mabadiliko chanya kwa jamii. Pamoja na elimu lakini kipaji cha uongozi kina hitajika ili mtu awe kiongozi.
Tuhuma ni tuhuma. aliyeleta post anamtuhumu dr. na baadhi humu wana mtuhumu aliyeleta post hii. wote waweza kua sawa au wote wanaweza wasiwe sawa. muhimu hapa ni kufanyika uchunguzi ili ukweli ujulikane. kisha watu watakua ktk nafasi nzuri ya kutoa moni yao kuliko ilivyo sasa.Muhimu sisi nasi...
njia yoyote ya mafanikio ina maumivu wakati mwingine. Baada ya mfumo mbovu kudumu kwa muda mrefu sasa mfumo ulio boraa unakuja. lazima pawepo kipindi cha maumivu hadi hali itakapo tengamaa. Kipindi hiki siasa zitakuepo na zaidi sana kutoka kwa wanufaika wa mfumo wa kale kwakua ukweli ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.