Recent content by kaboli

  1. kaboli

    Phone4Sale iPhone Xr 64GB

    Kasema mwisho m 25.
  2. kaboli

    Petroli bei juu. Mafuta ya kupikia bei juu. Mazagazaga bei juu. Maji ya kutumia hakuna. Umeme kukatika hata mara 5 au 6 kwa siku!

    Vifaa vya ujenzi ndo usiseme bei inapanda kila siku, nondo ya mm12 saizi 27k,toka 24k ya wiki jana,Yaani twiifwaa.
  3. kaboli

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Picha hazifunguki
  4. kaboli

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kuna 500k hapa chap,nije niibebe?
  5. kaboli

    Raba kali bei cheee

    Weka namba ya simu tufanye biashara.
  6. kaboli

    INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Ukichukua kuanzia ngapi ndo unauziwa kwa bei hiyo?
  7. kaboli

    Inakuwaje Dodoma Mjini maji yapo tele lakini Morogoro kuna shida ya maji?

    Mkoa ukishakuwa unasimamiwa na mambo ya ki chifu chifu,lazima mambo ya 'don't.
  8. kaboli

    Makandarasi wazawa ni majanga kwenye miradi ya ujenzi

    Sijawahi kuwaamini hawa kandarasi wazawa,ni magumashi sana,huku mtaani kuna kipande cha km 2 wamejenga,miezi sita haijafika wameanza kuziba mashimo. 'shiit.
  9. kaboli

    Zipi ni Spark Plug sahihi kwa gari lako?

    Nifunge plug gani kwenye 1ZZ Toyota wish?
  10. kaboli

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Wanasema inatumia PS, sasa sijui ni ipi hapo?
  11. kaboli

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu kuna uzi #654,mbona hujanijibu?
  12. kaboli

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Master naweza kupata steering rack ya Toyota Wish, Na kama ipo ni bei gani?
  13. kaboli

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Master nahitaji 'stabilizer links ' Toyota wish,napata?
  14. kaboli

    PIKIPIKI BOXER MPYA INAUZWA KAHAMA

    Nzuri asee! Kula 1.7M
Back
Top Bottom