Recent content by kabiriga

  1. kabiriga

    Hatua Gani za kuanzia Kwa mtu anaefanya uchafu wa aina hii?

    Mpaka hapo hamjui mfanye nini!? Kwetu kuna usemi "Mke akikuvuruga wewe mvuruge mamake".
  2. kabiriga

    Urusi na China siyo wa kutegemewa kama washirika

    Hakuna rafiki wala advice wa kudumu
  3. kabiriga

    Kosa kubwa walililofanya CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

    Tunayo macho,masikio na akili. Tunajua nini kinaendelea na tupo tayari kwa matokeo,kwani vita "haina macho".
  4. kabiriga

    Yohana Mbatizaji anasubiri kukatwa kichwa

    Masikini Yohana.......
  5. kabiriga

    Picha: Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    Tunasubori matamko tutekeleze
  6. kabiriga

    PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

    Bado Devotha anawenge! hawezi kujenga hoja za chama chake kipya bila kushambulia chama ambacho apambani nacho kwenye uchaguzi?
  7. kabiriga

    PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

    Kumiliki kitaru cha uchimbajo tena wachimbaji wadogo wadogo ni Dhabi? au walikiuka sheria gani ya nchi Tunawea kufanya siasa za adabu bila kufanya watu kuhoji uwezo "pedeje" kwenye kudadavua mambo,anashindwa nini kujifunza kwa boss wake Nchimbi?
  8. kabiriga

    Sidhani kama Mzee Rungwe anajua kinachoendelea maana hata Ukumbini kaingia ameshikiliwa na Mrema Kushoto Minja kulia!

    Ningumu sana wapiga ngoma kumsikiliza,mwenye kilinge kuliko waliolipia "gharama". kiufupi aliye mlipa mpiga ngomandiye anachagua wimbo
  9. kabiriga

    Huwa unafanya nini kupunguza au kumaliza hasira?

    Kujifungia chumbani kuongea pekeyangu,kulia na kulala
  10. kabiriga

    PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

    Wangelikuwa wanaunga juhudi na kusifu na kuabudu,tungelisikia "Kenya ni ndugu zetu ,mimi na brother Wllly ni kaka na dada!"
  11. kabiriga

    Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Tusaidie,vifungu vya sheria na kanuni vilivyokiukwa mzee! Kuliko hii ya mapenzi yako yatimie.....
  12. kabiriga

    "Huyu Mama...mi nikamwangalia tuu". Hii sio lugha ya Mimbarini, ni lugha ya Kijiweni! Rais wa nchi ni Rais, sio 'Huyu Mama'. Lazima aheshimiwe na wote

    Heshima inajengwa! na sio lazima kama unavyodhani,hesima I Atoka rohoni na sio unafiki ukiona kiongozi wa dini anamuita hivyo ujue hiyo ni is haraka ya nje ndani atakuwa na mengi ya kusema...
Back
Top Bottom