Salam, naomba mpitie hii standing order ili tujadili kama inawezekana endapo mtumishi wa umma amepandishwa cheo na mda wa probation ambao ni kipindi cha miezi 6 umeisha swali ni kwamba inawezekana kunyanganywa cheo baada ya miezi 6? someni standing order hapa chini
STANDING ORDERS FOR THE...
STANDING ORDERS FOR THE
PUBLIC SERVICE 2009
THIRD EDITION
Published by Authority
Pursuant to S.35 (5) of the Public Service Act, Cap.298
D.52 Probation Period following Promotion:
(1) Where a public servant is promoted to any post in the public service, that public servant shall...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.