Recent content by Kabelinde

  1. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Madalali wa Korosho zetu, Indo Power waanza kusaka soko kupitia Alibaba!

    Kwahiyo Hapa Kosa La serikali li wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Korosho! Sheria inatungwa huku hela ishaliwa ni wazi CCM haitaki kutajirisha raia wanaua mazao yote ya biashara

    Unaibaje Pesa Ikiwa Mfuko uliokuwepo ulikuwa unconstitutional? Hivyo Uhalali wa Mfuko wenyewe ulikuwa shida at first place.
  3. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

    Swali La Msingi naweza Kukuuliza Wewe Unaamini Waadhiri wapya Hawapo wala hawawezi Kutokea? Nafikiri Kuondoka Kwa Mmoja Kunaleta Kuzalishwa Kwa Wengi Zaidi. Nafikiri ni Uoga Tu
  4. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Polepole atangaza moto wa 'mageuzi ya makusudi' CCM

    Mabadiliko Hayaleti PolePole yeye anasimamia Maazimio ya Chama. Chama Ni Taasisi sio Mali Ya Mtu.
  5. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Polepole atangaza moto wa 'mageuzi ya makusudi' CCM

    Kama Hasimamii Sera anasimamia nini? Nafikiri Umeteleza
  6. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    Tangu Umeandika Haya Nani Amekufunga? Uhuru Bila Utii ni Uwendawazimu. Embu Tufanye Research isiyorasmi tujue wale wanaoikosoa serikali na wakatiwa mbaroni yaani ina maana sisi tuliobaki ndio tunaisifia serikali? Kuna Pahala Tunakuza Mambo
  7. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania UDSM vs SAUT, wapi ni bora?

    Umeshawahi Kusoma SAUT ukaona Urais wa Kupata Hivyo? Kwa Hili Umekurupuka
  8. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kumtumia Edgar Lungu wa PF salamu za Pongezi sio Unafiki?

    Wabongo Bhana... Kazi Kweli...
  9. Kabelinde

    JamiiForums Tanzania Deo Ngalawa ameteuliwa na CCM Ludewa kugombea ubunge

    Mshindi ni Deogratius Ngalawa
Back
Top Bottom