Recent content by kabasele

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sales Technician (Solar Products) Required

    Sales Technician (Solar Products) Required Preferably a lady. Experienced in solar sales & installation + customer care. Please send your CV to duniapower@protonmail.com by August 31, 2025.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    kwa kiswahili anaitwa FUNDU CHUMA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je naweza ungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari?

    Salaam, Nawaza, Je naweza kuungalisha speaker ya JBL Boombox2 kwenye redio ya gari? Lengo ni kuongeza hiyo speaker kwenye idadi ya speaker za gari. Msaada tafadhali.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pata aina mbalimbali za matairi, kwa mikoani tunatuma na kwa Dar tunafanya delivery

    Nimefungua tangazo nikiwa na nia ya kuagiza tairi lakini tangazo halina maelezo yanayojitosheleza. Naweza kusema linaonekana kama kanjanja tu. Utanisamehe.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Milioni 50 nihamie Dar Kariakoo kibiashara au kwenda China

    Vipi kuhusu raw materials? Nadhani kuna ambazo utatutoa nje ya nchi pia. TRA bado unao tu. Labda kwa baadhi ya bidhaa ambazo raw materials ni za hapahapa nchini.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa kwa kilimo linauzwa Njombe Vijijini

    Alifanye 'LUNCH' !😂
  7. K

    JamiiForums Tanzania Business managing system (POS)

  8. K

    JamiiForums Tanzania Business managing system (POS)

    Mfumo unaitwaje na umetengenezwa na nani?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari kabla haujanunua hisa za makampuni haya

    Hapo kwa JATU ni CROWD FARMING Nna sio CLOUD FARMING
  10. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside/Jeshini. 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kinauzwa Ubungo Riverside - 1,400 sqm

    Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km Ukubwa ni 1,400 square metre Bei ni 90m Piga 0625617565 Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni kikubwa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Mbweni, budget Mil.70

    Mbweni JKT vinapatikana kwa sh ngapi?
Back
Top Bottom