Recent content by kabanja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya zitto kabwe leo kibaha

    Zitto Kabwe Kibaha 28.06.2015 Leo ACT Wazalendo inatimiza mwezi wa tatu tangu mkutano mkuu wa kuchagua viongozi wake wa kitaifa ambapo baadhi yetu tumechaguliwa kuongoza chama chetu. Katika kipindi hicho tumeweza kutambulisha chama chetu katika makao makuu ya mikoa 22 ya Tanzania bara...
  2. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    ACT-WAZALENDO inatisha mpaka TANGA mpo? Nilidhani mpo MTWARA tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo watikisa Mkoa wa Tanga leo

    Hodi hodi tanga na act-wazalendo
  4. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo, wafanya mkutano mkubwa Mbeya Mjini leo

    ACT kufanya maajabu kupata wabunge na madiwani wengi
  5. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo, wafanya mkutano mkubwa Mbeya Mjini leo

    Chadema leo wametaka kuhujumu mkutano wa ACT-WAZALENDO lkn hila zao zote zimeshindwa na watu wamejitokeza kwa wingi kama ambavyo mmeona picha za mikutano leo mkoani MBEYA.
  6. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo, wafanya mkutano mkubwa Mbeya Mjini leo

    ACT-WAZALENDO inatisha ile mbaya
  7. K

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo kufanya mkutano mkubwa Mpanda

    ACT yatisha kama njaa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

    Mtajuana wenyewe,sisi hayatuhusu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Toeni Majibu Chadema Mara nyingi mwatoa taarifa za uongo Sasa maswali hayo,twaombeni majibu Majibu twayasubiri kwa hamu. Chadema Toeni Majibu Watanzania tunasubiri MAJIBU YA CHADEMA.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Pumba zingine hizo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Mbona mnashindwa kutoa majibu nyie makamanda wa BAVICHA
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    chadema toeni majibu,kazi yenu matusi tu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Maswali yameelekezwa chadema,hivyo ni vyema majibu yakatolewa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Kamanda acha kupaniki,toeni majibu tu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nikipata majibu ya maswali haya narudi CHADEMA

    Kikubwa hapa ni kutoa majibu tu
Back
Top Bottom