Usipoelewa maana halisi ya ya Demokrasia ni taaaaabuu kweli,
Ni ukweli usiopingika CDM imekua kuanzia juu kurudi chini tofauti na CCM ambayo Mwalimu aliikuza kuanzia chini kwenda juu.
Hebu fikiria huyu mtu (Joseph Y. Patrick
+255713802226
Mwenyekiti wa chadema wilaya/jimbo Temeke
Mwenyekiti...
Mimi pia nimeguswa sana na kinachoendelea CDM, kusema ukweli kufa kwa chadema hata mwana CCM makini hawezi kufurahia.
CDM ni chama cha watanzania ,niliwahi kufanya kazi na watu kutoka USA, hata kama mtu ni Republican/Democrats hawezi kuota wala kuwaza eti chama kimojawapo kife kwa maanufaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.