Recent content by KABAKA28

  1. KABAKA28

    Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Maarifa yamefichwa kwenye maandishi. Wengi hawajui.
  2. KABAKA28

    Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Sheria ya kodi ya Tanzania, inampa ruhusa mtanzania ane rejea kutoka nchi za nje kuja na vitu vyake alivyo kua akivitunia na havitozwi kodi https://www.tra.go.tz/page/returning-resident
  3. KABAKA28

    Kampuni ya kusafirisha mizigo toka Japani kwenda Tanzania (Dsm).

    Nina ishi Japani Nataka kuleta baadhi ya mizigo Tanzania (haifiki kontena). Nahitaji kampuni itakayo nisafirishia na ku clear mizigo yangu bandarini. Kama kuna mtu mwenye kampuni yupo humu Au unaijua kampuni Naomba tuwasiliane. Kama kuna mwenye uzoefu pia naomba share nami. NB: Nahitaji...
  4. KABAKA28

    Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Naomba kujuzwa, kampuni gani kongwe inamilikiwa na mtanzania na ina miaka mingapi? Nini sababu za kampuni kudumu muda mrefu? Nini unapaswa kufanya kurefusha uhai wa kampuni yako? Nimeona Japan kuna makampuni yana miaka zaidi ya 500. Sisi kampuni kongwe lina miaka mingapi? Asanteni.
  5. KABAKA28

    Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Huku ni kazi tu, huwezi kupata muda wa kutumia hela, inasaidia sana kwa sisi tusiojua ku save“
  6. KABAKA28

    Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

    Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania. Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea Japani hali ya ubaguzi kwa Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine. Visa ya Kufika Japani ni...
  7. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    Natumia paid version. 4.o nimeivhagua kulingana na kazi ninayo ifanya. Sijawahi kusikia ChatGPT Plus au Pro. Kama zipo naomba maelekezo nita upgrade.
  8. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    ChatiGPT inajua 98% ya lugha duniani. Uliza hata kwa kimakonde atakujibu tu.😂😂
  9. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    Point kubwa hapa ni muda anaochukua kujibu (1 day). Hata uulize swali la kipuuzi kiasi gani utajibiwa immediately. So kwangu mimi hii bi new experience kuambiwa nisubiri siku moja
  10. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    Ni project nafanya na Chat, tumefikia hatua ya execution ananiambia itachukua siku moja. Ndio maana nimeshangaa. Siwezi ku disclose maana ni biashara. Ukiaoma response zake utapata clue tunazungumzia nini. Anyway, my point was, kumbe chatGPT na gen AI zingine huwa zinafikia hatua zinahitaji...
  11. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    Ukiangalia majibu aliyo toa chat unaweza kuona swali ni la namna gani. Otherwise sio mfatiliaji wa AI
  12. KABAKA28

    ChatGPT ameshindwa swali langu?

    AI imetumia zaidi ya siku moja sasa, mpaka sasa haijatoa jibu la swali/task langu. Kila nikiuliza update ananiambia nisubiri analifanyia kazi. Au uwezo wake umeishia hapo?
  13. KABAKA28

    Nataka kuachana na huduma za AIRTEL

    Vijana tumeshindwa kutengeneza data kweli? Huwa najiuliza ili uweze kutengeneza data lazima uwe na network? Nadhani ifikie hatua wauza data wawe huria, kila mtu apange bei yake na data iweze kutumika mtandao wowote. Tutafute solutions, tuache kulalamika
Back
Top Bottom