Recent content by kababae

  1. K

    JamiiForums Tanzania Makulusa ni nyooooko , jiwe la karne hili walahi

    Nyimbo mbaya.. sisi tunataka bongo flavor yetu.. hayo makwaito ya nini sasa..
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezila chakula, njaa inauma hatari

    Mwambie mkeo akuandalie chakula unaskia njaa.. hayo ndio majukumu yake.. alafu wanaume wa siku hizi unawaogoba wake zenu kama wamewatolea mahali.. mtume akuandalie chakula wakati wowote hata saa 8 usiku..ndio kazi yake
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimezila chakula, njaa inauma hatari

    Wanaume wa dar hata kula ubembelezwe?? Sie huku kwetu tukifika tunaulizia kama wameivisha tunakula tunashiba baadae tunaelekea kugegeda mzigo.. sasa we na njaa yako hiyo utagegeda kweli?? Na usipo gegeda kila siku ukazila kula hata mwezi .. si utapigiwa??
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

    Huu ujinga wa mtoto wa kishua huwa siulewagi point mnawapa za nini? Kwa kutumia gari la wazazi wake au kukaa home?? Ni ufala.. ushua lazima uutengeneze mwenyewe #selfmade...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hii siredi kwa keshitwani imerudi?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wasanii ambao ni watoto wa kitajiri ambao hawafanyi Mziki kwa sababu ya njaa

    Usimuite huyu mtu atakuja na siridi ya malalamiko tena..hapa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dope Audio: Ali kiba and Yvone chachaka

    Yoooo ndio aliyobakiza pekeyake
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hebu tuzungumzie kidogo ishu ya Vanessa Mdee..

    Wanajichosha tu.. unatengeneza nyimbo inahit mtwara alafu unaenda kusainiwa na lebo inayofanya shughuli zake marekani ni wehu first class... alafu mie kiukweli huwa sielewi ni nini hawa wasanii wa bongo wanakimbilia marekani mbona africa kuna watu wengi na kuna hela mingi?? Kuna zaidi ya watu...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

    Njoo pm tuyajenge.. hongera pia
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi FGM imeathiri mfumo wa maisha yangu(psychologically),historia ya kweli.

    Njoo pm mie wanawake kama nyie ndio nawatafuta sana.. mnaoheshima mila..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar acheni tabia ya kunywa beer ndogo ndogo

    Wanaume wengi wa dar asilimia kuwa wanamagari hivyo hawana tabia ya kuzikomoa pombe maana kunywa alafu wanaendesha gari
  12. K

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Weka mambo hadharani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Nzega moja
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

    Ha ha ha unabahati mbaya sana.. mie nikienda kukata tiketi huwa nauliza namba za siti walizokata mademu.. siku zingine nabahatisha mademu wakali.. nahuwa siwakosi
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusiwatege Wasaidizi wetu

    Baba mwenye nyumba awe anamtafuta japo mara moja kwa wiki
Back
Top Bottom