Recent content by Ka_zen

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuwepo kwa single mother

    ukiweka mazingira mazuri hivi watakua hawaheshimu ndoa, si watajua wakiachika wanapata mtaji na kuna sehemu za kulea watoto, Hivyo wanaume watakua hawajali kuhusu kuacha na wanawake watakua na kiburi zaidi ya sasaiv.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Hii ipo vizuri, Msiposaini yale makaratsi si anajua muda wowote ataondoshwa heshima na adabu inakuepo, Lakin akishasaini tuu kiburi juuu. Pia naona walichifanya mahakama ya kenya kubadili sheria ya 50/50 ni jambo zuri, wajue hata kama mmesaini makaratsi lakin mkiachana ataondoka na nguo zake tuu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Mm nilikua nasema ukweli, Bhana mm bado sijapanga naishi kwa ndugu yangu, sasa mm mwenyewe nimebebwa alafu nilete mtu tena, Wengine wnaaona ni mbinafsi au mchoyo lakin ni bora kuliko nikupe ahadi ya uongo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    yawezekana walishamuonesha dalili lakin akadhani ni wachunaji au wanataka hela zake kumbe angejiongeza tuu angeishi nao vizuri sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waoaji wapo, tatizo wanawake mmezidi tamaa sana

    wanazingua sana aisee, mtu ukimuona muonekano wake unakushawishi kabisa kua nae ila ukishamfungukia unakutana na tabia za ajabu ajabu tuu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona sioni raha ya hii dunia?

    kumbe!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona sioni raha ya hii dunia?

    Raha jipe mwenyewe ndugu, Ukisubiria raha ije yenyewe haiji, baada ya majukumu yako serikalini fikiria nin unakipenda nenda kakifanye ujipatie furaha, kama ni kunywa kanywe kwa kiasi, kama ni kusoma kasome sana, kama ni kucheza kacheze utakavyo, as long unajua ukikifanya iko kitu utapata furaha...
Back
Top Bottom