Recent content by k majaliwa

  1. k majaliwa

    Hivi nyie Wanaume mpewe nini mridhike? Wanawake wenzangu kuna la kujifunza kwa hili tukio la Ebitoke

    Pamoja na kukugawia virus bado unamuona wa maana? Mtu aliyedhamilia kukuua kwa makusudi!!! Hayo maisha mazuri yatakusaidia nn kama afya haipo? Yaani nimekushangaa sana! Huna cha kuwashauri wengine endelea tu , usijedhan hayo madonge yatakuweka hai milele! Fuatilia watumiaji utakugundua vifo...
  2. k majaliwa

    GADIEL MICHAEL MMBAGA

    Sema simba hampo serious kulazimisha pesa za mnyaturu
  3. k majaliwa

    Natamani kughairi kuolewa kwasabb ya best-man

    Akaombewe au akaongezewe mapepo?
  4. k majaliwa

    Wajumbe wa Simba (tunawapongeza) msikubali kuiuza timu kwa shida ya siku moja

    Wao ndiyo wenye timu sasa huyo mo ni wakuja tu, hata serikali inalijua hilo ndiyo maana ili ingilia kati. Unadhani yale Maneno alizungumza Rostam yalikuwa ni yake? Alitaka afanye kama mo akastuliwa
  5. k majaliwa

    Wajumbe wa Simba (tunawapongeza) msikubali kuiuza timu kwa shida ya siku moja

    Mbona hayo yote bakhresa kafanya niambie kapata nini? Usimba na uyanga ni kama kabila tunaambukiza mpaka na watoto wetu
  6. k majaliwa

    Wajumbe wa Simba (tunawapongeza) msikubali kuiuza timu kwa shida ya siku moja

    Kwani simba imeanzishwa mwaka juzi? Kama hpn miaka yote iliwezaje kusajiri na kulipa mishahara? Au huyo mnyaturu alikuwa analipa yeye! Acha kujibu kishabiki tumia akili kidgo mtani
  7. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Unamkana mwenyekiti wako? Jangwani panawanyima usingizi sana!
  8. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Umeanza dhambi ya ubaguzi?
  9. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Mwenzio alipojua tu kukunukuu akajiona amekuwa msomi kuliko wote
  10. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Ndiyo lengo lake haswaa, hajui nyuma ya mwenyekiti kuna serikali
  11. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Yaani we mwanamke una akili sana, maana niwachache wanaweza kutazama kwa jicho hilo. Huyu mnyaturu anapenda ready made
  12. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Unapoteza muda kujibizana na mburula
  13. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Anataka mtelemko ,,niambie ni nini alichowahi kuanzisha mo kikafanikiwa?
  14. k majaliwa

    Mwenyekiti Simba atajwa kuwa kikwazo kwa MO

    Kuna wakati huwa una akili sana kijana.
Back
Top Bottom