Ninaanza kukuamini. Kiashiria kingine ni kuwa wote wanatazama pande tofauti (si kama watu walioko pamoja ama wanaonong'onezana jambo). Tazama pande anayoangalia Diamond, ni mgongoni kabisa kwa Mhe. Rais.
Lakini sasa, hata kama ni "Photoshoped", mbona waliposhikana mikono ni 'real' kabisa? Au...
Je, upo Shinyanga Mjini na ungependa kufahamu 'Graphic Design' kwa ufasaha ndani ya muda mfupi?
Kama ndiyo, ni-PM tuzungumze. Nitakufundisha Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign na Lightroom.
Nitakufundisha pia 'Video Editing' kwa kutumia Adobe Premiere kwa vitendo.
Utaweza kujiajiri katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.