Katika kutatua shida za wananchi ...huwezi kusolve shida zote kwa wakati mmoja....ndiyo maana Serikali inatatua changamoto kwa awamu kulingana na bajeti hapa Serikali inajaribu kubeba kila jambo kwa umhimu wake kwa awamu....hii Serikali ni ya awamu ya 5 mbona hizo kero hazikutatuliwa Huko nyuma...
Hii ndiyo Serikali ambayo mwananchi tuliisubiria miaka mingi.
Kazi ya Serikali ni kutatua kero na changamoto mbalimbali za mwananchi.
Tumeona Huduma ya afya ikiboreshwa maradufu,maji,umeme na miundombinu ya barabara ikiendelea,pembejeo za kilimo
Hakuna anayeogopwa!anaende au asiende au aitishe press conference hakuna kitakacho badilika.
#politics for people#
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Hana kitu cha kueleza yote ni Pumba tu!.
Hatuna mda wa kusikiliza watu wanaotumiwa sisi.Ujinga gani huu....Neno Rais magufuli halimkauki na hana zaidi ya kujeli kila kitu kinachofanya na Serikali .....Akili za ajabu sana sijawahi kuona binadamu wa hivi anayejiona kuwa yeye ni sahihi na anajua...
Membe alitaka uraisi kwa hali yyte lkn haikuwezekana!Vita ya kundi la membe na kundi la Lowassa 2015 ndani ya chama ndiyo kilichomfanya magufuli apate hiyo fursa ya kuteuliwa na chama.
Sasa huyu jamaa hana amani mpaka leo amejaa nogwa tupu.asuburi tu 2025 kama ataweza kupambana na vijana...
Membe kaitwa kujieleza na KM wa chama!
Elewa bana!Nn sababu ya kuitwa kujieleza?...ni kuhusu kutafuta kura za 2020 ndani ya chama na ndo kukwamisha.
Tofauti na hilo membe hana chochote cha kumukwamisha kiongozi wa nchi.
Chama kina taratibu zake.Mbona hajiulizi kwa nini mwaka 2015 wale walioanza kampeni mapema ndani ya chama kutafuta kuungwa mkono wote waliitwa na kujieleza!
Siyo kitu kipya ndani ya chama na hata kufungiwa imefanyika Mara nyingi ndani chama toka mwinyi!mbona mwinyi aliwashitaki Lowassa na...
Ujinga ni kujifanya unajua kila kitu!na hii Tabia mbaya sana na inaibuka miongoni mwa watanzania.
Mtu huna taaluma yeyote ya mambo ya usalama(intelejensia) then unawabishia kwa assumption za kitoto kabisa.
Unajenga twasiri kuwa wewe una uchungu kuliko familia na watanzania wengine.
MTU anapuyuko...
Huyo zitto ana jeshi lake la polisi!
Polisi chombo kinachofanya uchunguzi wa kusaidiana na vyombo vingine.
Ni ujinga kumwamini zitto kuliko jeshi la polisi ambalo limekesha usiku na mchana kufuatilia tukio zima kwa umakini mkubwa..
Hata ukijiuliza maswali bado ukweli upo polisi na kwa...
Ujinga siyo tusi!kama unajaziba acha kusoma habari hizi.
Sijawahi kuona watu wajinga hizi.
Kuna watu Tanzania sio kwao tumewaazima.
Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
CHADEMA NA UPINZANI WOTE MNAWEZA NN?KUFIKA BEI ILI MNUNULIWE?
KAZI YENU KUZODOA SERIKALI NA HAMKOSOI KABISA....HATA MKIJITAHITI KUKOSA NO ALTERNATIVE YA KILE AMBACHO CCM INAFANYA.
MNAJUA KULALAMIKA NA KUONAEWA HURUMA KWA KILA KITU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.