Recent content by Justine Kakoko

  1. Justine Kakoko

    Tabia muhimu za kuzijenga kwa watoto

    Wazazi/walezi wengi hutamani kujenga tabia mbalimbali nzuri kwa watoto lakini hujikuta katika njiapanda ya kuchagua tabia ipi waiwekezee nguvu zaidi ya nyingine. Katika kuhudumia kwangu wazazi kwa kuwapa ushauri kwa miaka zaidi ya sita sasa nimekutana na wazazi wengi ambao wanajua tabia gani...
  2. Justine Kakoko

    Mbinu 20 za kumfanya mtoto aweze kuongea mapema

    Sawa. Binafsi nimekutana nao, ni wengi. Sio mabubu, wanahitaji msaada tu. japo kwa umri huo unakuwa umechelewa sana. Jamii inadanganyana kwamba sio kitu kibaya mtoto kuchelewa. Wazazi wahimizwe kuwasaidia watoto mapema.
  3. Justine Kakoko

    Mbinu 20 za kumfanya mtoto aweze kuongea mapema

    nakutana na watoto wenye miaka mpaka saba hawajaweza kuongea. Unadhani wataanza shule muda gani? kuchelewa kuongea kusipopewa suluhisho kunaweza kumfanya mtoto awe nyuma kwenye kila kitu. Pia, watoto wanaochelewa kuongea kwasababu ya autism usipowatafutia suluhu huwa hawawezi kutumia lugha...
  4. Justine Kakoko

    Mbinu 20 za kumfanya mtoto aweze kuongea mapema

    1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba. 2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza na mtoto, kaa kimya, mpe nafasi ya kujibu. Akishindwa kujibu msaidie kujibu kisha mtake arudie...
  5. Justine Kakoko

    Ni nani anaweza kutatua matatizo ya watoto kuchelewa/kushindwa kuongea?

    Swali kubwa ninaulizwa na wazazi/walezi kila siku juu ya matatizo ya watoto kuchelewa kuongea ni: Nani anaweza kunisaidia kulimaliza tatizo hili la kuchelewa kuongea kwa mtoto wangu? Binafsi huwa nakosa jibu rahisi la kuwapa wazazi/walezi moja kwa moja mpaka nimuone mtoto na shida yake ni ipi...
  6. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Mpeleke kwenye hospital yoyote yenye audiologist mzuri amkague kwanza. Majibu atakayokupa unaweza kushare na mimi kupitia 0765886191. Lakini pia, unaweza kunitumia video clip ambayo mtoto anaongea, anaongeleshwa na kuagizwa kitu au kupewa maelekezo fulani. Ni ngumu kwa mimi kukwambia chochote...
  7. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Rejea kwenye reply za comment za juu hapo. Kuna maelekezo yenye msaada nimeyatoa.
  8. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Naandika mara kwa mara hapa. Nitaandika juu ya suluhisho muda ujao. Ninaenda kuedit hitimisho ili watu wajue kuwa nitaandika wakati ujao. Japo napendekeza utumie lugha nzuri, hakukuwa na haja ya kejeri. Tumia lugha nzuri muda ujao kama ipo kwenye sehemu ya maadili yako.
  9. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Ndiyo. Nipo mtaani pia. Nawasaidia wazazi/walezi juu ya mambo mbalimbali ya watoto kila siku isipokuwa baadhi ya masuala yahusianayo na Afya ya mwili.
  10. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Sijapaniki, ni ngumu kupaniki kwa jambo dogo kiasi hicho. Nimeonesha msisitizo tu. Umeonesha mzaa kwenye jambo ambalo hauna uelewa nalo. Kuna wengine huwa hadi mabubu kwa kuchelewa kuongea tu, bila ya kutafutiwa tiba mapema.
  11. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    TV inarudisha sana maendeleo ya ukuaji wa ubongo wa watoto. Nimefanya diagnosis kwa watoto wengi wenye tatizo hili, chanzo kwa wengi nimebaini ni TV. Nitaandika makala juu ya hili nikipata wasaa.
  12. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Umeisoma makala yote? Mtoto anayechelewa kuongea huwa katika hatari ya kuwa nyuma katika kila kitu. Nimesaidia watoto wa namna hiyo, kama haujawahi kusaidia wala kuwa na mtoto wa namna hiyo unaweza usione uzito wa tatizo. Usipende kurukia hitimisho rahisi kwenye matatizo sensitive kama haya...
  13. Justine Kakoko

    MADA: Tatizo la Watoto kuchelewa kuongea. Ni kipi chanzo chake? Je, nawezaje kutatua tatizo hili?

    Tatizo la watoto kuchelewa kuongea ni la miaka mingi sana lakini miaka ya hivi karibuni limeonekana kuongezeka kwa kasi sana siku hadi siku. Kuchelewa kuongea ni moja kati ya matatizo ya mawasiliano ambayo huwakuta watoto: tatizo hili hujitokeza pale ambapo watoto hushindwa kuongea kuendana na...
  14. Justine Kakoko

    Mwanzoni hatutafuti uelewa bali tunajenga tabia ya usomaji wa vitabu kwa watoto

    Nimekuwa nikupokea maswali ya wazazi/walezi wengi hususani wanapoanza safari ya hii ya kuwajengea watoto wao tabia ya kupenda kujisomea vitabu lakini swali kubwa huwa ni: Je, mtoto wangu anaelewa ninachomsomea? Au mbona mtoto wangu aelewi ninachomsomea? Na mengine mengi yenye ufanano na hayo...
Back
Top Bottom