Recent content by JUSTIN MPOTWA

  1. J

    Kumbukumbu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Leo ni siku ambayo kaka yetu mpendwa Daudi Mwangosi alifariki, Machungu ya kushambuliwa kwa kipigo, kisha kwa bomu na kikosi cha FFU huko mkoani Iringa katika eneo la Nyololo chini ya amri iliyotolewa na Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Iringa wakati huo RPC Kamuhanda Tunaweza kujifunza nini juu ya...
  2. J

    Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Niwaombe radhi wadau kwa kutokukoti kilichosemwa: Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe Makamo wa kwanza wa rais wa Zanzibar na katibu mkuu wa CUF aliyasema hayo jana alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni...
  3. J

    Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Aliyoyazungumza Maalim Seif kwenye ufunguzi wa Kampeni, ni uchanga wa kisiasa. Tanzania imefika hapa kwa kufanya siasa rahisi rahisi. ninaposema siasa rahisi ninamaanisha siasa za kudanganyana na siasa za kusikiliza maneno yakuambiwa tu pasipo kufanya utafiti. Mzee Maalimu Seif naye ni wale...
  4. J

    Maalimu Seif: CHADEMA Mtaji wao ni Mafisadi, awananga Zitto na Mbowe

    Tanzania imefika hapa kwa kufanya siasa rahisi rahisi. ninaposema siasa rahisi ninamaanisha siasa za kudanganyana na siasa za kusikiliza maneno yakuambiwa tu pasipo kufanya utafiti. Mzee Maalimu Seif naye ni wale wale.Kawauza wanachama wake wa Cuf anakuja kuzungumzia Mambo ya Chadema.Ufisadi wa...
  5. J

    Baraza la maaskofu katoliki (TEC) limbane Polycarp Pengo kuhusu anavyokataa Serikali tatu

    mmefikia kuwaita viongozi wa dini, wahuni? m nafikiri wa JF tuwe na busara fulani. Jamii Forum ni mahali pazuri pa wasomi walioelimika kutolea maoni yao. JF pia ni mahali pa watu wanaofikiria. Cjui kama tunaweza kuonyesha tofauti yetu, kama walioelimika na wale wasioelimika. Tuwe na adabu kwa...
  6. J

    My Political Analysis on Jambo Leo: Unaweza Kuudanganya Umma kwa Muda Mfupi tu, Sio Wakati Wote!

    Kama kuna mambo ya ajabu duniani ni kumwamini mtu. Kwa mfano, leo hii kuna watu wanaamini kuwa kuna Mungu. M siaminu km Mungu yupo. Sasa kuna watu wanaamini kuwa chadema ingewakomboa, kumbe chadema kazi yake ni kuwaonyesha uovu wa chama tawala. Chama tawala kimechafuka sana. sasa tunahtaj...
  7. J

    Wachungaji wa kirokole mtaingia mbingu gani

    Kwanza tukubaliane kitu kimoja, kuwa kifo kwa mwanadamu hakiepukiki. Kila nafsi itaonja mauti, maandiko yanasema. Hata hivyo kwa muda mrefu mwanadamu amekuwa akijibiidisha kukwepa kifo, ndio maana tunaenda hospitali au tunakunywa dawa. kwa post yko hapo juu, ni kweli kifo kinaweza...
  8. J

    Siwezi kutongoza...

    I see!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. J

    Mwangosi day wilaya ya Mufindi

    Ndugu watanzania, Zimebaki siku kadhaa kutimiza mwaka mmoja toka pale ndugu yetu Daudi Mwangosi alipouawa na polisi kwa bomu pale kijijini Nyololo. Mwangosi aliuawa tar 02/09/2012 na hii ina maana tar 02/09/2013 ndio itakuwa ni siku ya kumkumbuka. CHADEMA wilaya ya mufindi tumeandaa...
  10. J

    M/kiti wa serikali ya kijiji wa CHADEMA akamatwa kwa amri ya mkuu wa wilaya ya Kilolo

    Ninasikitika kuwatangazia kuwa, bwana Obadia Lubugo kamanda wa CHADEMA, ambaye pia ni mwenyekiti wa kijiji cha Udekwa kilichopo wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa alikamatwa jana 06/06/2013 kwa Amri ya mkuu wa wilaya hiyo ya Kilolo, ndugu Gerlad Gunilitha. Kukamatwa kwa Ndugu Obadia ni...
  11. J

    Mgombea wa udiwani kwa tiketi ya chama cha mapinduzi na kashifa ya ubakaji

    Ndugu Zuberi Nyomolelo ambaye ni mgombea udiwani katika kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi anakabiliwa na tuhuma za kuishi unyumba na mtoto wa shule wa darasa la sita katika shule ya msingi Kitelewasi. Mtoto huyo anaitwa Vumilia Kitosi ambaye pia ni mkazi wa kijiji cha Kitelewasi katika kata...
  12. J

    Mulugo atoa rushwa kampeni za uchaguzi mufindi

    Katika kile kinachoonyesha uwezo mdogo katika ufanyaji wa kampeni na ukosefu wa utashi wa kisheria kwa baadhi ya watendaji wa serikali ya CCM, Mhe. Philip Mulugo, Naibu waziri wa elimu na Mafunzo amekiuka kanuni za maadili ya uchaguzi kwa kutoa rushwa hadharani katika kampeni za udiwani...
  13. J

    Gesi!

    Tunaendelea na majadiliano juu ya hoja ya wenzetu wa Mtwara na Lindi kulilia gesi iliyopatikana kwao iweze kuwanufaisha kwao. Nilifuatilia vizuri taarifa iliyotolewa na wizara ya nishati na madini kwa vyombo vya habari. Iliandikwa kisayansi sana na ilikua ni ya kitaalamu sana. Jambo...
  14. J

    Watoto wetu wanaposhindwa kufaulu

    Ifike wakati sasa tusilaumiane kwa kuwa jamii nzima inahusika. mpaka sasa tumesikia matokeo ya mitihani ya taifa miwili; wa darasa la saba na wa kidato cha pili lakini kote kuna tisha! Nayagawanya matatizo ya kufeli kwa wanafunzi katika makundi makubwa yafuatayo ya kimalezi: 1. MALEZI YA...
Back
Top Bottom