Recent content by JusticeNyari

  1. J

    Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya!

    Membe anatengeneza nyota yake ya kubaki na wadhfa kwa kuwalaghai Watanzania kwa maneno yake nusunusu...kama kweli anawajua hao wanaofanya maisha ya wananchi kuendelea kuzorota basi awaanike leo na si kesho kwani tayari tumechoka na wongo...yeye mwenyewe yawezekana yumo katikati ya hao...
  2. J

    Wise and Otherwise:the J.K's.So let the sleeping dogs sleep.

    The difference between Julius Kambarage and this Other J.K's achievements seem to be as easier platform for leadership comparison other than looking at their similarities which clearly only lie in their name Initials i.e J.K's.Unfortunately if Mwalimu woke up from his sleep today and found the...
  3. J

    Muswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba: Download na pitia uone kilichomo na usambaze

    Katiba mpya katika Tanzania ni chombo kinachohiajika sana ili Mtanzania halisi aweze kufaidika na Vyote vinavyomuhusu kama Mtanzania, kuanzai kufaidika na rasilmali na uhuru wa kuishi popote atakapo Tanzania.Katiba tuliyokuwa nayo tangu Uhuru Mwaka 1961 Ni katiba iliyotungwa na Makaburu ili...
  4. J

    Arusha kwa sasa KWISHNEY!

    Ni wakati wa Tanzania kuangalia upeo wa kiongozi tukijua ni wapi tunahitaji kwenda.Kiongozi wa mwisho tuliyekuwanaye ni Mwalimu Julius Nyerere na bila shaka waliomfuata hadi sasa wanaonekana tu kuwa "officials"ambao kwa bahati mbaya au nzuri wamepata fursa kuingia ofisini. Hawajawahi kuwa na...
  5. J

    Arusha kwa sasa KWISHNEY!

    Arusha Ina rasilmali kibao Bali hakuna viongozi wa kuelekeza uekezaji ili kunufaisha jamii nzima na hivyo hali ya Maisha kuendelea kuzorota.Ni wakati Watu wa Arusha wanatakiwa kuwa makini na kuchagua uongozi unaofaa baada ya Lema ili kurekebisha hali hii..Mambo ya kutazama vyama ni...
Back
Top Bottom