Recent content by Just_Me

  1. J

    Kwanini mwanaume anapiga goti anapomvisha pete ya uchumba binti?

    Toxic Masculinity in full display here.
  2. J

    Elimu ya Tanzania kadri siku zinavyokwenda inazidi KUSHUKA Thamani

    Wangetakiwa waanze kubadilisha mfumo wa mitihani kwanza.. Wakibadilisha jinsi wanavyotunga na kusahihisha mitihani basi na walimu watafuata line.. As long as mitihani ipo vile vile basi na walimu wataendelea kuwakaririsha tu wanafunzi wao maana wao wanachotaka ni kufaulisha, regardless of the...
  3. J

    Nahitaji msaada kwa developer mwenye uelewa na react native na visual studio

    Error ipo very clear.. Device unayotumia kudebug haijasomeka.. Una options mbili kusolve 1. Setup emulator yako make such its running vizuri na environment variables zake zipo setup vizuri. 2. Connect simu ya android. Make sure USB debugging ipo enabled.. alafu run tena hio command.. Its...
  4. J

    Soko la Hisa Dar es salaam mnatia aibu

    Binafsi nimetumia hii app vizuri tu bila tatizo lolote na hisa nimenunua pia successfully. Ila mkuu, ungetengeneza app yako pia tuone, huenda ingekua bora zaidi kuliko kulalamika bila ushauri wala mapendekezo yoyote. Hujasaidia chochote.
  5. J

    Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

    Dah.. Sasa hapo ndo napo changanyikiwa.. Sasa.. Mfano natengeneza business plan kwa ajili ya kampuni yangu.. Nitenge shilling ngapi kwa ajili ya company website? Ivi hii ndo ilivyo dunia nzima au ni Tanzania tu?
  6. J

    Currently in TZ , what is the average price for a professionally done website?

    Naomba kuuliza hili swali maana so far naona kila kampuni na kila freelancer ana bei zake kutokana na yye anavyojiona, naombeni wazoefu mnisaidie hapa, on average, typical price ya website nzuri, professionally done and maintained inakua ina range kwenye how much?
  7. J

    Ipi bora? Kulipia tangazo liwe "Sponsored Ad", au kumlipa mtu mwenye followers wengi anipost?

    I must say.. Moderators mmefanya a poor job ya ku classify hii thread.. Hii thread haikupaswa kuwa katika matangazo madogo madogo ni thread inayowahusu Wafanyabiashara.. Sasa uku kwenye matangazo madogo mfanyabiashara atafaidika nini kutokana na advice itakayotolewa? Putting this thread here...
  8. J

    Ipi bora? Kulipia tangazo liwe "Sponsored Ad", au kumlipa mtu mwenye followers wengi anipost?

    Ahsante kwa muda wako mkuu.. Nimekuelewa sana hasa kwenye kuhusu targeting maana kwa sponsored ad inawezekana kabisa kutarget location kitu ambacho kwa kumpa influencer inakua ni vigumu kidogo.. Ila kwenye gharama naona kama Instagram wapo juu kidogo maana last time I checked wanaanzia 5$ kwa...
  9. J

    Ipi bora? Kulipia tangazo liwe "Sponsored Ad", au kumlipa mtu mwenye followers wengi anipost?

    Habari wadau, nipo hapa kuomba ushauri wenu, nakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara zao kwenye mtandao wa Instagram. Katika hawa Wafanyabiashara naona wengi wanapata mafanikio wakipostiwa na watu kuliko wale wanaotangaza kwa kulipia "Sponsored Ads" lakini bado naona idadi ya watu...
  10. J

    Kuna uwezekano watanzania hatujui maana ya ubunifu

    Tatizo linaanzia kuanzia level ya Elimu.. Ipo chini kiasi kwamba wananchi tuna glorify vitu vidogo because we lack exposure. I blame kiswahili for this. Nchi hii tuna ngangania kiswahili wakati inaturudisha nyuma tu. Wananchi (including news interviewers) wanashindwa kuwa up to date na current...
  11. J

    Hii ndo sababu kwa Africa makampuni ya technologia hayakui, after 2 years yanakufa

    Mi nadhani target yao sio watanzania maana kwa mtanzania wa kawaida ata ungekua service ni ya bure sio watanzania wengi wanaweza kustream movie nzima ikaisha. Bando yenyewe ya shida. Kwa mtazamo wangu nadhani wametarget sana sana watu walio nchi za nje ambapo wifi ni basic need.
  12. J

    Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Kweli kabisa.. Ni sawa na mtu kajifunza jinsi ya kuinstall themes kwenye WordPress tu.. Anamtengenezea mtu website alafu akiambiwa abadilishe kitu anajikuta yupo limited..
  13. J

    Kujifunza programming bila kwenda chuo

    Unapokosea ni pale unapomwita degree holder kwamba ni programmer... Anybody can be a programmer.. Programming is just a tool.. Anybody can learn how to use code.. Kuna tofauti kubwa sana between a Programmer and an Engineer/Scientist .. It takes months to learn how to code but knowing how to...
  14. J

    Nimeamua kuanza kujifunza computer programming (back end development)

    Jifunze php ufanye kazi. Mengine utajifunza when you need to. Nawajua watu wanajua ma c++, python, Golang.. Ila unakuta mtu akipata bug anachukua wiki kusolve kisa hakuna community nzuri, leo hii ukipata tatizo lolote la php unapata suluhisho la haraka na kazi zinaendelea.. I love php when you...
  15. J

    Nmesahau apple id

    Nadhani huijui iPhone wewe..
Back
Top Bottom