Habari wadau, nipo hapa kuomba ushauri wenu, nakutana na wafanyabiashara wengi wanaofanya biashara zao kwenye mtandao wa Instagram. Katika hawa Wafanyabiashara naona wengi wanapata mafanikio wakipostiwa na watu kuliko wale wanaotangaza kwa kulipia "Sponsored Ads" lakini bado naona idadi ya watu wanaolipia izi "Sponsored ads" inazidi kuongezeka, huenda kuna jambo silijui.
Naomba ushauri wenu wanaJF (hasa digital marketers na Wafanyabiashara waliotumia matangazo ya njia hizi) Ni kipi bora kati ya "sponsored ad" na kumlipa mtu mwenye followers wengi (Range 100k - 1m).
Naomba ushauri wenu wanaJF (hasa digital marketers na Wafanyabiashara waliotumia matangazo ya njia hizi) Ni kipi bora kati ya "sponsored ad" na kumlipa mtu mwenye followers wengi (Range 100k - 1m).