Recent content by Just A Regular Guy

  1. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Mnakaa tu vijiweni ‘Ronaldo vs Messi’, watu wenyewe hawana habari

    Haya amka kutoka kwenye kochi la shemmeji yako ukalale
  2. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Mnakaa tu vijiweni ‘Ronaldo vs Messi’, watu wenyewe hawana habari

    Tukianza na ww unaetumia infinix ya shemeji yako.
  3. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Instagram ishakuwa Soft Porn. Tusitegemee adabu na staha uko mbeleni

    Hongera ndugu. Kwa kweli sijui kizazi kitakuwaje mbeleni.
  4. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Instagram ishakuwa Soft Porn. Tusitegemee adabu na staha uko mbeleni

    Kijana (mvulana na msichana) wa miaka 15, 16, 17 au 18 ambaye ndio mara yake ya kwanza kushika simu kitu cha kwanza atahitaji ni kujiunga instagram na facebook. Hii inamaanisha vitu ambavyo unavyoona wewe 25+ yrs old ndio vile vile ambavyo binti au mvulana huyu under 18 anaona. Na siku hizi...
  5. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Sakramenti ya Kikatoliki inauzwa kwa bei elekezi

    Kum l mam ako wew, wew mwnyw mknd msng kwl kwa nn ucriticize dhehebu wakat tabia yako imekushinda.
  6. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

    Hatuna budi zaidi ya ku-admire. Hongera na ndoto ziendelee.
  7. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

    Sawa biliojea Majibu yenu ya reja reja tushayqzoea humu
  8. Just A Regular Guy

    JamiiForums Tanzania Ni ujenzi gani wa kisasa ambao wewe binafsi haupendelei?

    First of all, heshima kwa wote waliojenga. Hoja zangu hazimaanishi kuwakosoa ila ni kutofautiana na mapendeleo. Mimi binafsi sipendelei aina ya ujenzi ufuatayo: ■ Uongezaji kimo wa nyumba kwa kuweka bati nyingi kuelekea juu sana. Wanasema mfumo huu unasaidia kupunguza joto ndani ya nyumba...
Back
Top Bottom